Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720




















SOURCE ya taarifa tuoneshe?? Au umetoa Group lenu la Whatsapp?
Jamani hizi post nyingine mnazo-edit kwenye forum zenu si mngekuwa mnajadili huko kwenu ili mchekeshane vizuri
Kwa sababu man beki bora namna hiiView attachment 1547480Timu yetu mzuri haihitaji usajili kwa sasa
Hakuuzwa ,, ila mkataba ulisha na akadai alipwe Euro 210k kwa wiki , ila Ole aliona kafanya lipi mpaka alipwe hiyo fedha.Namkubali sana Under Herrera ..jana kafanya kazi kubwa sana. Hii man u kwanini ilimuuza?
Roma ile haikuwa Roma ya kawaida ilikuwa na kila kipaji cha italy.roma alipigwa saba tu na sio giant kama barca
Chagua moja. Mara PSG mara Manyumbu ukipata mimba tutashindwa kumjua baba wa mtotoTimu yetu mzuri haihitaji usajili kwa sasa
Kosa nini? Kuwatapeli Man U yeye ni beki bora au?
300k alitakaHakuuzwa ,, ila mkataba ulisha na akadai alipwe Euro 210k kwa wiki , ila Ole aliona kafanya lipi mpaka alipwe hiyo fedha.
Hela ya kumlipa ipo?Messi kakinukisha huko
Tumchukueni wazee
mara paaaa!!!! messi huyo hapoUkimya una kishindo kikubwa mnooooo, Man u ni timu na ni taasisi imara na kubwa pia. Mark my words.
Hahaha.Ukimya una kishindo kikubwa mnooooo, Man u ni timu na ni taasisi imara na kubwa pia. Mark my words.