Manchester United (Red Devils) | Special Thread

-
'Messi cannot leave now' - Former Barcelona president Gaspart slams planned exit

However, Gaspart - who was president of Barca between 2000 and 2003 - told Marca: "[Messi] cannot leave. He will have to leave in 2021.

"I have seen the contract and it is very clear. The clause ended in June and there is no going back.

"I prefer him to leave next year for zero than to go now for less than €700 million.

"The club is in charge here, not the player. The club paid the players. And this is not a matter of money, there is a signed contract and that's it."

Source ; Sky Sports

Sasa je ! Kuna timu yenye €700 million na yenye uwezo wa kutoa mshahara zaidi €650k kwa wiki kwa huyu mzee mwenye 33years????
Maana hiyo €700 million inanunua timu nzima Arsenal na Chelsea kwa ujumla 😀 😀
 
SHOTS FIRED!!!

Klabu inasema kwamba bado inaendelea kumuunga mkono meneja (Solskjær) katika kuimarisha kikosi kwa muda mrefu.

Pia inaangazia kwamba dirisha la usajili msimu huu halitakuwa la 'biashara kama kawaida' kwa sababu ya athari kubwa ya kiuchumi kutokana na janga la Corona.

Hivyo kutokana na athari za kiuchumi klabu lazima iwe na tahadhari msimu huu wa joto ili kuhakikisha kuwa klabu inahifadhi nguvu yake kupitia kipindi hiki kigumu.

(Source: BTP Media Network - Via: utdreport)
 
Anaomba aondoke bure..cuz kimkataba hawezi kuondoka labda mpk msimu ujao due to his price tag.
 
SHOTS FIRED!!!

Klabu inasema kwamba bado inaendelea kumuunga mkono meneja (Solskjær) katika kuimarisha kikosi kwa muda mrefu.

Pia inaangazia kwamba dirisha la usajili msimu huu halitakuwa la 'biashara kama kawaida' kwa sababu ya athari kubwa ya kiuchumi kutokana na janga la Corona.

Hivyo kutokana na athari za kiuchumi klabu lazima iwe na tahadhari msimu huu wa joto ili kuhakikisha kuwa klabu inahifadhi nguvu yake kupitia kipindi hiki kigumu.

(Source: BTP Media Network - Via: utdreport)
Hapa ni upupu tu sijaona kitu cha msingi UTD walichokizungumza..

Jamaa aliwachana vizuri tu.
 
Hivi Maguire imekuwaje huko?

MAGUIRE 1.jpg
 
Kwahiyo ndiyo munataka kumpokonya Ucaptain siyo? Angelikuwa sio Muengereza kama Paul Pogba ingewezekana! Lakini wakati ni Muengereza basi Ucaptain wake hautoguswa 😂😂😂

MAGUIRE 2.jpg
 
-
'Messi cannot leave now' - Former Barcelona president Gaspart slams planned exit

However, Gaspart - who was president of Barca between 2000 and 2003 - told Marca: "[Messi] cannot leave. He will have to leave in 2021.

"I have seen the contract and it is very clear. The clause ended in June and there is no going back.

"I prefer him to leave next year for zero than to go now for less than €700 million.

"The club is in charge here, not the player. The club paid the players. And this is not a matter of money, there is a signed contract and that's it."

Source ; Sky Sports

Sasa je ! Kuna timu yenye €700 million na yenye uwezo wa kutoa mshahara zaidi €650k kwa wiki kwa huyu mzee mwenye 33years????
Maana hiyo €700 million inanunua timu nzima Arsenal na Chelsea kwa ujumla 😀 😀

CC: DullyJr & Ollachuga Oc
 
Ngj tuone mwisho wake huenda hii issue ya Messi ni kweli mana jamaa katikisa kiberiti na kiukweli yupo real anataka kusepa na tm zinazomuweza Messi ni chache sana hapa duniani ambazo ni Madrid (hawezi kwenda), Bayern (hawezi kwenda cz kwa ss Bayern ni km Madrid kwa Barcelona so atawaumiza sn mashabiki), na man u (japo tatizo litakuwa culture ya tm czani km atafit ila tusubiri tuone) na ndiyo maana uki connect dots utaona ya kwamba man u ina delay dili ya Sancho because of Messi, hawawezi kumsajili Sancho zen Messi itakuwa matumizi mabaya ya ofc.

Manure hawadelay kumnunua Sancho kwasababu ya Messi! bali hela anayouzwa tu wanahisi sio gharama yake sahihi ndiyomana hawajamnunua mpaka muda huu.
 
Magwaya akiomba msamaha hatafungwa..according to reports

LAKINI akifanya kosa lingine lolote ndani ya Ardhi ya Ugiriki atatumikia hiki kifungo no matter how small the crime is.
 
Kwahiyo ndiyo munataka kumpokonya Ucaptain siyo? Angelikuwa sio Muengereza kama Paul Pogba ingewezekana! Lakini wakati ni Muengereza basi Ucaptain wake hautoguswa

View attachment 1548656
Hawezi kuendelea kuwa captain wenzetu wanazingatia sn maadili, namuona Bruno akivaa tambala lililokuwa likimsubiri na kwakweli ameonesha ya kwmb ni kiongozi wa kweli uwanjani.
 
Back
Top Bottom