The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Man u v Roma ilikuwa 7-1 mkuuKumbukumbu zangu ziko hivi.
Man u v As Roma 7-2
Bayern Munich vs Barcelona 7-0
Real Madrid v Bayern Munichen 6 - 3
Bayern Munichen vs Barcelona 8-2
Barcelona vs Bayern Munichen 5- 3.
Rivalry ya Bayern na Barcelona siyo ya kawaida hizi timu ili uwaondoe kwenye mashindano lazima ufunge goli nyingi vinginevyo wanakutoa tu.
Ndiyo maana kila mmoja akimuotea mwenzake huwa anapiga kweli kweli.

My friend siku nikikutana na aliyempa hili jina tampiga paka apasuke yani aive
Huyu jamaa ni moja kati ya Walaji Mishahara Ya Bure pale Man united yani kuna sehemu nasema ni utapeli mkubwa sana Chama kuchezea simba alafu lingard man united.
