Nakwenda zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Kumbe sio Mimi tu ninaye muonaga[emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]View attachment 1545114
Hivi hatufanyi usajili wowote kwamba timu yetu ni bora sana kushinda city au liverpool?
Nakwenda zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Kumbe sio Mimi tu ninaye muonaga[emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]View attachment 1545114
Mods hata hatuwaogopi tumeshawazoeaTutawaitia mods,hatutaki ujinga..wafungue thread kwenye pm ya mtu mmoja
Hii timu sio ya mchangani kama zenu huwaga haikurupuki kwenye maamuziHii timu haijasajili mpaka sasa[emoji2][emoji2]
Mwaka huu ni lazima mshuke daraja..
Usajili wenu wa beki unawasili baadae uingereza kutoka gerezani!
Nyumbuuuuuu!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] naona haikukurupuka kumsajili Magwaya kwa £80mHii timu sio ya mchangani kama zenu huwaga haikurupuki kwenye maamuzi
Umerudi Unyumbuni si ulikuwa PSGHii timu sio ya mchangani kama zenu huwaga haikurupuki kwenye maamuzi
Chama langu damu yanguUmerudi Unyumbuni si ulikuwa PSG
Huoni kwamba nyuma kumeimprove tumefungwa magoli machache kuliko timu zote za ulaya[emoji23][emoji23] naona haikukurupuka kumsajili Magwaya kwa £80m
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo kipi kimewafanya mshindwe kubeba taji lolote msimu huuHuoni kwamba nyuma kumeimprove tumefungwa magoli machache kuliko timu zote za ulaya
Improvement ndio hii?[emoji116][emoji116]Huoni kwamba nyuma kumeimprove tumefungwa magoli machache kuliko timu zote za ulaya