Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyumbu kama Nyumbu
Nyumbu kama nyumbu
Screenshot_2020-08-25-23-46-13.jpeg
 
Hii timu ya familia ni ya kingese sana wanaoumia ni mashabik zao
Ngj tuone mwisho wake huenda hii issue ya Messi ni kweli mana jamaa katikisa kiberiti na kiukweli yupo real anataka kusepa na tm zinazomuweza Messi ni chache sana hapa duniani ambazo ni Madrid (hawezi kwenda), Bayern (hawezi kwenda cz kwa ss Bayern ni km Madrid kwa Barcelona so atawaumiza sn mashabiki), na man u (japo tatizo litakuwa culture ya tm czani km atafit ila tusubiri tuone) na ndiyo maana uki connect dots utaona ya kwamba man u ina delay dili ya Sancho because of Messi, hawawezi kumsajili Sancho zen Messi itakuwa matumizi mabaya ya ofc.
 
Naona ni risk sana kumchukua Messi
 
Nyie man u jau kumnunua Sancho tu kipengele sahv mnajipa matumaini kwa messi ,unafikiri man city, PSG , hawezi kumnunua
 
Binafsi sioni umuhimu wake uwanjani kwa sasa labda kama atatumika kibiashara.
Nafikiri aje Van de beeck!!
Mkuu hakuna tm icyomuhitaji Messi duniani hapa hata Yanga ingependa kuwa naye, ukiacha kibiashara lkn bado ni mchezaji mzr lkn pia ni vzr kwa tm kuweka historia kwamba greatest players walipita hapo na ndiyo fimbo wanayoitumia tm za Spain (Madrid na Barca)
 
Bro,kuna club ambazo wanapenda sana kusajili wazee wazee ila sio utd.

Kwasasa tunahitaji wachezaji aggressive na mafanikio sio wanaokuja kuchukua mpunga na kusepa au kuzeekea utd.

Messi amefanikiwa mengi kisoka sioni kama atakua na kiu zaidi ya kuleta u-father tu dressing room.
 
Back
Top Bottom