Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Umeona performance ya Evans kwa hii msimu miwili au unakimbilia kwenye kuudharau uafrica
Evans amekua beki mzuri hadi Guardiola alikua anamgangania, na nimesema tumrudishe endapo sokoni mabeki watakua na being kubwa sana maana yeye tunaweza mpata kwa bei ya chini sana akatupush for one season huku tunaangalia mabeki wengine ila squad depth inaongezeka, kwa Smalling siwezi kusema sana maana ligi pia aliyoenda ni nyepesi kidogo ila pia tukimbakiza nitakua ni jambo jema pia
Smalling aliondoka sababu ya kelele zetu fans ila yupo level sawa na hawa mabeki tulionao sasa. Kumbu time zile tulilaumu kila mchezaji. Naelekea kuamini sambamba na mapungufu ya players tumechemka sana kupata makocha wazuri.

Liver to be sincere, haina wachezaji wakali, uki-rank mmoja mmoja, wana average players save Van na Mane ambaye work rate yake ni kubwa sana. Klop ana impact sana, ametengeneza team, sisi coaches walifeli hapa
 
Evans ni beki mbovu no doubt. Kuhitajiwa na gurdiola sio kuniaminisha ubora wake
 
RW ndio huyo Sancho tunamfukuzia mkuu

Striker tunaweza kutafuta ila sio under pressure (dalili zinaonesha hivyo), kuja kwa Sancho automatically atam push Greenwood awe namba 9 back up ya Martial, japo haimaanishi kuwa ndio kamwe hatapangwa winger ya kulia, pia haimaanishi mbele ya safari hawezi kuwa mbele ya Martial kwenye machaguo ya kocha.

RB tusahau mkuu wangu, bora hata ungewaza LB, maana Shaw spana mkononi, kuna tetesi Brandon anaweza kwenda kwa mkopo ingawa inategemeana na a lot of factors.

Upande wa RB Ole anaweza kuendelea kumuamini AWB na Dalot, japo Dalot anaweza kuondoka (kwa kutaka au kuuzwa) na Ole akamuamini Laird bwana mdogo mwingine kutoka academy U23, japo yeye ana miaka 18 (huyo ndio Ole wetu wakuu)

CB kuwa na new addition ni ngumu, Ed ameshatumia £142M kwa miaka hii 3 au 4 kwa Bailly, Lindelof na Maguire. Uwezekano uliopo akimuuza Smalling, Rojo na Jones au 2 kati ya hao ni kuongeza CB kutoka ndani kwa kuwapandisha Teden Mengi mwenye miaka 18 lakini kafanya vizuri sana kwenye timu ya U23 na kuendelea kuwaamini Axel na Bailly kama Back up ya kapteni na Lindelof.

CM/CDM ni moja kati ya nafasi ambazo mimi natamani iwe kipaumbele chetu, ila kitendo cha Matic kupewa mkataba wa muda mrefu inanifanya niamini kuwa kwenye nafasi hiyo kwa msimu wa 2020/2021 tutatumia rasilimali zilizopo klabuni.

Ndidi kuna jarida nilisoma yeye kwa miaka 3 mfululizo ndiye CDM/HM mwenye ball recoveries/tackles (au vyote) nyingi kuliko yoyote kwenye ligi kubwa 5 Ulaya.

Kuna wakati kocha wake wa Genk alisema huu jamaa miguu yake ina darubini ya kuona mipira unapotaka kupeleka na upinzani. Kwenye hiyo nafasi naona Ndidi is the man, sio tu kwa kile ninachosoma majaridani, hata kwa utulivu ninaouona akiwapa Soyuncu na Evans pale Leicester.
How far can we go next season kama haya yatatokea..winning the league??
 
Hapo nimeongelea kuhusu uhalisia ninaouona mimi kwenye nafasi ambazo mate alizataja

Nilikuwa sijasema kitu kuhusu uhalisia wa ninachoona katika kusajili, nilibase kwenye zile nafasi nyingine ambazo tunatamani kuziziba (almost 6 to 7 players, very difficult in post Corona window)

Kwenye usajili sidhani kama Ole atasajili zaidi ya wachezaji 3 na sidhani kama itakuwa chini ya wachezaji 2

Akisajili 3, ni Sancho, probably another creative mid au namba 10 (Grealish) na probably striker. Akisajili 2, itakuwa ni RW na creative mid/namba 10.

Akisajili 3 bila kujali usajili wa timu nyingine, tutajihakikishia top 4 (top 4 uhakika) na kombe dogo kama EFL au FA, lakini EPL sidhani.

Akisajili 2 mbio zetu za top 4 zitakuwa na misukosuko kama msimu huu uliokwisha

Akisajili 4 (tupate mtu kama Ndidi kati) tuna uwezo wa ku challenge ubingwa wa ligi kuu, lakini itakuwa kama style ya Liverpool, risk makombe mengine ili ushinde ligi kuu, hatutakiwa na ubavu wa kupambania makombe yote

Ili tujifananishe na Man City, kwa upande wa kikosi tusitegemee madirisha 3 ya usajili wa Ole yatatosha, hata Pep alihitaji madirisha zaidi ya 5 kuwa hivi alivyo.

How far can we go next season kama haya yatatokea..winning the league??
 
Smalling aliondoka sababu ya kelele zetu fans ila yupo level sawa na hawa mabeki tulionao sasa. Kumbu time zile tulilaumu kila mchezaji. Naelekea kuamini sambamba na mapungufu ya players tumechemka sana kupata makocha wazuri.

Liver to be sincere, haina wachezaji wakali, uki-rank mmoja mmoja, wana average players save Van na Mane ambaye work rate yake ni kubwa sana. Klop ana impact sana, ametengeneza team, sisi coaches walifeli hapa
Klop katumia misimu mitano kutengeneza hiyo Liverpool aliyonayo.mpaka sasa kikosi cha Liverpool karibia wote kasajili Klop with exception ya Milner, Henderson,Lallana na Origi.

Solkjaer ndiyo kwanza ana msimu mmoja tu wa kusema kuwa amefanya usajili sasa kwanini tuseme tumefeli kwenye benchi la ufundi?

Tuwe wavumilivu with time timu itakuwa vizuri tu mpaka tukamilishe kuondoa deadwoods zote na turuddishe Man united DNA.
 
Ndindi hapana aiseee
Hapo nimeongelea kuhusu uhalisia ninaouona mimi kwenye nafasi ambazo mate alizataja

Nilikuwa sijasema kitu kuhusu uhalisia wa ninachoona katika kusajili, nilibase kwenye zile nafasi nyingine ambazo tunatamani kuziziba (almost 6 to 7 players, very difficult in post Corona window)

Kwenye usajili sidhani kama Ole atasajili zaidi ya wachezaji 3 na sidhani kama itakuwa chini ya wachezaji 2

Akisajili 3, ni Sancho, probably another creative mid au namba 10 (Grealish) na probably striker. Akisajili 2, itakuwa ni RW na creative mid/namba 10.

Akisajili 3 bila kujali usajili wa timu nyingine, tutajihakikishia top 4 (top 4 uhakika) na kombe dogo kama EFL au FA, lakini EPL sidhani.

Akisajili 2 mbio zetu za top 4 zitakuwa na misukosuko kama msimu huu uliokwisha

Akisajili 4 (tupate mtu kama Ndidi kati) tuna uwezo wa ku challenge ubingwa wa ligi kuu, lakini itakuwa kama style ya Liverpool, risk makombe mengine ili ushinde ligi kuu, hatutakiwa na ubavu wa kupambania makombe yote

Ili tujifananishe na Man City, kwa upande wa kikosi tusitegemee madirisha 3 ya usajili wa Ole yatatosha, hata Pep alihitaji madirisha zaidi ya 5 kuwa hivi alivyo.
 
Lalana yupo Brighton mkuu
Klop katumia misimu mitano kutengeneza hiyo Liverpool aliyonayo.mpaka sasa kikosi cha Liverpool karibia wote kasajili Klop with exception ya Milner, Henderson,Lallana na Origi.

Solkjaer ndiyo kwanza ana msimu mmoja tu wa kusema kuwa amefanya usajili sasa kwanini tuseme tumefeli kwenye benchi la ufundi?

Tuwe wavumilivu with time timu itakuwa vizuri tu mpaka tukamilishe kuondoa deadwoods zote na turuddishe Man united DNA.
 
★Manchester United are set to offer goalkeeper Dean Henderson a new deal worth £60,000-a-week.

The new contract would see Henderson's wages increase fivefold. #GGMU★
IMG_20200809_155842_039.jpeg
 
★Mbona hawa jamaa wanatutishia sana ujue wamesha muona Man u ni mnyonge wao yani ni kama "Demu anataka kukuacha lakini akiwaza Unampaga mtonyo wakutosha anajirudi tena" huyu Demu ndio Man U sasa.

Borussia Dortmund will offer winger Jadon Sancho a new deal and a significant pay rise if Manchester United do not meet their £100m valuation by tomorrow.★
IMG_20200809_161800_533.jpeg
 
Back
Top Bottom