Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Nimeona sasa hivi ile yakum DM Potche niliiona mchana.

Andrea Pirlo is being lined up to become the new Juventus manager only hours after outgoing boss Maurizio Sarri was sacked, according to reports Sky in Italy.
Pirlo amekuwa confirmed kuwa manager wa Juventus
IMG_20200808_220543_746.jpeg
 
Ni dogo tu mkuu, kwenye soka kuna sababu nyingi za kuita mtu/timu madogo

Inawezekana kimiaka mimi kwangu ni dogo, inawezekana kimuonekano pia ni dogo

Hata timu ndogo watu wanaziita madogo bila kujali average age zao

Kuna mtu nilikuwa naongea naye juzi akawa ananiambia wale madogo (LASK) tutawapiga nyingi, japo kiumri wamewazidi wachezaji wa United lakini tuliwaongelea kama madogo na tukaelewana

So hata Lingard sioni shida kumuita dogo
kweli asee timu ndogo hata iwe na wazee tupu bado tutatokea Wa kuwaita madogo
 
Tuzo ya kinda bora msimu huu apewe dogo Mason Greenwood kafanya makubwa sana ktk umri mdogo sana wa miaka 18 tu. Binafsi naona anafaa zaidi tena EPL wanapaswa kupunguza umri wa hii tuzo uwe unawalenga teenagers zaidi yaani iwe inatolewa kwa wachezaji wenye umri kuanzia miaka 19 kushuka chini na sio kuanzia miaka 24 kushuka chini.

Mtu aliyevuka miaka 21 huyu sio kinda kiufundi huu ni umri wa mwanzo kwa mchezaji kuanza kucheza kiutu uzima. Messi alichukua tuzo ya mchezaji bora wa dunia akiwa na miaka 22 tu, wakati Cristiano Ronaldo alichukua akiwa na 23. Hoja yangu hapa ningependa kuona tuzo za kinda bora ziwe zinatolewa kwa wachezaji wenye miaka kumi naa. Just imagine mtu kama Anthony, Marcus, Trent, unawaweka kundi moja na kijana aliyecheza msimu mmoja tu kiushindani kutokana na kuwa na umri mdogo nyuma kama Mason. Hao watatu wamecheza zaidi ya misimu mitatu wote fulltime as regular players ktk vikosi vya kwanza.

Nje ya Mason (18) , karata yangu naweka kwa Arnold (21) ktk hao wakubwa wenzie aliobaki nao yeye kafanya vizuri zaidi kuliko wote waliokuwa nominated hapo.
 
United tumefocus kwenye dili la Sancho sana kiasi kwamba tunaweza jikuta dirisha linafungwa tumefanya usajili mmoja tu, wakati bado tunahitaji wachezaji wengine sio chini ya wawili yaani CB, RW na RB na ikiwezekana Midfield moja ya kibabe (mkata Umeme) kama Partey au Ndidi ila EdWood na jopo lake wanakomaa na Sancho mwisho wa siku tutashindwa kusajili the right players,
Inatakiwa tujifunze kwa City wako wakitaka mchezaji dili haichukui wiki mbili tayari wameshasajili
 
Hatua Squad depth nzuri msimu ujao tunamechi nyingi zenye ushindani mkubwa kuliko msimu huu hivyo Ole anatakiwa ahakikishe timu inaimarishwa Sana kwenye kila namba uwanjani inatakiwa United ifike mahali Sub ikifanywa kinatoka kitasa kinaingia Kitasa sasa Sijui board yetu inafikiria nn kwenye hili, na tukikaa vibaya na injury zikatokea msimu huku yutarudi kulekule kwenye namba 6 na kutoka UEFa round of 16 yaani Squad depth ni ya muhimuno hichi ndo kipindi Ole anatakiwa aishawishi bodies ifungie pochi tufanye sajili za kibabe ili msimu ujao tusipate dhoruba za kukosa wachezaji tegemezi na timu kufanya vibaya
 
United tumefocus kwenye dili la Sancho sana kiasi kwamba tunaweza jikuta dirisha linafungwa tumefanya usajili mmoja tu, wakati bado tunahitaji wachezaji wengine sio chini ya wawili yaani CB, RW na RB na ikiwezekana Midfield moja ya kibabe (mkata Umeme) kama Partey au Ndidi ila EdWood na jopo lake wanakomaa na Sancho mwisho wa siku tutashindwa kusajili the right players,
Inatakiwa tujifunze kwa City wako wakitaka mchezaji dili haichukui wiki mbili tayari wameshasajili
CB hawezi kusajili smalling ushaambiwa anarudi
 
Back
Top Bottom