Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,585
- 2,666
Subiri mnavoliwa tako leoWolves ukipangwa Naye utakalia tu ..
Unafunga timu za mchangani uko ..nyie ni chakula cha wale mbwa mwitu
Subiri mnavoliwa tako leoWolves ukipangwa Naye utakalia tu ..
Unafunga timu za mchangani uko ..nyie ni chakula cha wale mbwa mwitu
Dean Henderson je ?Mm man u ila hapo nampa Arnold.
nasikia babu yako mzee sarri the ball ametimuliwa,Dean Henderson je ?
Kwa matokeo ya jana ilikuwa lazima afukuzwe tu.nasikia babu yako mzee sarri the ball ametimuliwa,
★
Kwa matokeo ya jana ilikuwa lazima afukuzwe tu.
Performance mbovu kwa mechi tano mfululizo hakukuwa na excuse yoyote kwa kikosi kikubwa namna ile
Jamaa wa mwanzo kushoto kwetu waliosimama sio mchezaji wa united.View attachment 1531396umegundua nini katika picha hii mechi ya Manchester United vs Bayern Munich mwaka 2001
★
View attachment 1531396umegundua nini katika picha hii mechi ya Manchester United vs Bayern Munich mwaka 2001
Mimi ilinishangaza alipoanza na Federico Bernadeschi badala ya Paul Dybala.★Ona anachokuja Kusingizia★View attachment 1531386
Mbona wachezaji wako 12View attachment 1531396umegundua nini katika picha hii mechi ya Manchester United vs Bayern Munich mwaka 2001
★
Mimi ilinishangaza alipoanza na Federico Bernadeschi badala ya Paul Dybala.
Kwenye midfield Aurar aliwapoteza midfielders wa Juventus wote.
kizazi kipya cha wakufunziKwa matokeo ya jana ilikuwa lazima afukuzwe tu.
Performance mbovu kwa mechi tano mfululizo hakukuwa na excuse yoyote kwa kikosi kikubwa namna ile
Hahahaha kifupi alizidiwa mbinu na Rud Garcia.★Mimi nazani Dybala alikuwepo na hitirafu na ndio maana hakuanza nae ila kwa baadae baada ya kuzidiwa akaona ili akwepe maneno ya watu na lawama akaamua kumuweka sasa maana na sisi binadamu hata tungeambiwa kwa baadae Paul hajaingia alikuwa na tatzo la kiafya tusingeamini tu★
Huenda wakamkabidhi mikoba Pirlo au watatafuta Mwalimu mwingine.
kwa mujibu wa fabrizio romano, juventus wamempa timu andrea pirloHuenda wakamkabidhi mikoba Pirlo au watatafuta Mwalimu mwingine.
Kama ni hivyo wanaanza project mpya nina wasiwasi kama msimu ujao wataweza kutwaa ubingwa wa Italy tena.kwa mujibu wa fabrizio romano, juventus wamempa timu andrea pirlo
View attachment 1531430
★
Hahahaha kifupi alizidiwa mbinu na Rud Garcia.
Wale watoto walicheza jihadi sana walihakikisha Ronaldo haingii kwenye box lao na mpira ikabidi awe anapiga long shots ambazo walikuwa na kazi ya kufanya blocking na interceptions walifanikiwa sana.
Huenda wakamkabidhi mikoba Pirlo au watatafuta Mwalimu mwingine.
Pirlo amekuwa confirmed kuwa manager wa Juventus★Naskia washam DM Potchetino★