Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hatua Squad depth nzuri msimu ujao tunamechi nyingi zenye ushindani mkubwa kuliko msimu huu hivyo Ole anatakiwa ahakikishe timu inaimarishwa Sana kwenye kila namba uwanjani inatakiwa United ifike mahali Sub ikifanywa kinatoka kitasa kinaingia Kitasa sasa Sijui board yetu inafikiria nn kwenye hili, na tukikaa vibaya na injury zikatokea msimu huku yutarudi kulekule kwenye namba 6 na kutoka UEFa round of 16 yaani Squad depth ni ya muhimuno hichi ndo kipindi Ole anatakiwa aishawishi bodies ifungie pochi tufanye sajili za kibabe ili msimu ujao tusipate dhoruba za kukosa wachezaji tegemezi na timu kufanya vibaya
Ole inabidi awe mkali...Viletwe vitasa

Kwenda kuanza ligi na kikosi hiki sitochangaa tukawa hata nje ya top four au kuipata kwa mbinde

RW
RB
CDM
CF

Man City wana Mahrez,Bernado na Torres(New signing) on same spot..hivi hawa tutawezaje kushindana nao bila kufanya massive signings?
 
Ningekua Ole kwenye Usajili msimu huku ningefanya maamuzi haya kwenye kila idars uwanjani
Goal keeper
Namuongezea mkataba Dean Henderson halafu namrudisha kwa mkopo tena Sheffield msimu mmoja tena,
DEffenders
Nauza Jones, Rojo, halafu nafanya maamuzi magumu ya kuamua kubaki na Smalling au nimrudishe John Evans(msishangae ila Evans amekua bora zaidi saivi) aje asaidiane na CB zilizopo maana Dili la kuolibaliy ni gumu sana Napoli wanataka hela Mingi,
Dalot bado tunamuhitaji sana kila kama itatokea kuna beki ingine sokoni nzuri nitauxa Dalot na kumleta mtu wa kusaidiana na Spiderman Bissaka.
Midfield
Tunahitaji kiungo yenye Roho mbaya mithili ya Fernandihno hapa ningemchukua Ndidi au Partey au tu naenda Intermilan tunamchukua Brozovic,
Winger ni Sancho wakuongeza,
Striker,
Pale mbele Naona kama Martial na Greenwood wako njema kila wanahitaji goal getter mashine yenye uzoefu zaidi na wakuwapa ushindani madogo, pengine nisingeona Aibu kumchukua Veteran mmoja kama Mandzukic au Ciro Immobile au Dzeko
 
Yaani pale England Man city ndo wako serious na usajili na pengine kidogo Chelsea wanajua wanataka nn, ila sisi na Wale Jamaa wa Nort london hatupo serious kwenye suala la kuboresha kikosi
 
RW ndio huyo Sancho tunamfukuzia mkuu

Striker tunaweza kutafuta ila sio under pressure (dalili zinaonesha hivyo), kuja kwa Sancho automatically atam push Greenwood awe namba 9 back up ya Martial, japo haimaanishi kuwa ndio kamwe hatapangwa winger ya kulia, pia haimaanishi mbele ya safari hawezi kuwa mbele ya Martial kwenye machaguo ya kocha.

RB tusahau mkuu wangu, bora hata ungewaza LB, maana Shaw spana mkononi, kuna tetesi Brandon anaweza kwenda kwa mkopo ingawa inategemeana na a lot of factors.

Upande wa RB Ole anaweza kuendelea kumuamini AWB na Dalot, japo Dalot anaweza kuondoka (kwa kutaka au kuuzwa) na Ole akamuamini Laird bwana mdogo mwingine kutoka academy U23, japo yeye ana miaka 18 (huyo ndio Ole wetu wakuu)

CB kuwa na new addition ni ngumu, Ed ameshatumia £142M kwa miaka hii 3 au 4 kwa Bailly, Lindelof na Maguire. Uwezekano uliopo akimuuza Smalling, Rojo na Jones au 2 kati ya hao ni kuongeza CB kutoka ndani kwa kuwapandisha Teden Mengi mwenye miaka 18 lakini kafanya vizuri sana kwenye timu ya U23 na kuendelea kuwaamini Axel na Bailly kama Back up ya kapteni na Lindelof.

CM/CDM ni moja kati ya nafasi ambazo mimi natamani iwe kipaumbele chetu, ila kitendo cha Matic kupewa mkataba wa muda mrefu inanifanya niamini kuwa kwenye nafasi hiyo kwa msimu wa 2020/2021 tutatumia rasilimali zilizopo klabuni.

Ndidi kuna jarida nilisoma yeye kwa miaka 3 mfululizo ndiye CDM/HM mwenye ball recoveries/tackles (au vyote) nyingi kuliko yoyote kwenye ligi kubwa 5 Ulaya.

Kuna wakati kocha wake wa Genk alisema huu jamaa miguu yake ina darubini ya kuona mipira unapotaka kupeleka na upinzani. Kwenye hiyo nafasi naona Ndidi is the man, sio tu kwa kile ninachosoma majaridani, hata kwa utulivu ninaouona akiwapa Soyuncu na Evans pale Leicester.

United tumefocus kwenye dili la Sancho sana kiasi kwamba tunaweza jikuta dirisha linafungwa tumefanya usajili mmoja tu, wakati bado tunahitaji wachezaji wengine sio chini ya wawili yaani CB, RW na RB na ikiwezekana Midfield moja ya kibabe (mkata Umeme) kama Partey au Ndidi ila EdWood na jopo lake wanakomaa na Sancho mwisho wa siku tutashindwa kusajili the right players,
Inatakiwa tujifunze kwa City wako wakitaka mchezaji dili haichukui wiki mbili tayari wameshasajili
 
Tuzo ya kinda bora msimu huu apewe dogo Mason Greenwood kafanya makubwa sana ktk umri mdogo sana wa miaka 18 tu. Binafsi naona anafaa zaidi tena EPL wanapaswa kupunguza umri wa hii tuzo uwe unawalenga teenagers zaidi yaani iwe inatolewa kwa wachezaji wenye umri kuanzia miaka 19 kushuka chini na sio kuanzia miaka 24 kushuka chini.

Mtu aliyevuka miaka 21 huyu sio kinda kiufundi huu ni umri wa mwanzo kwa mchezaji kuanza kucheza kiutu uzima. Messi alichukua tuzo ya mchezaji bora wa dunia akiwa na miaka 22 tu, wakati Cristiano Ronaldo alichukua akiwa na 23. Hoja yangu hapa ningependa kuona tuzo za kinda bora ziwe zinatolewa kwa wachezaji wenye miaka kumi naa. Just imagine mtu kama Anthony, Marcus, Trent, unawaweka kundi moja na kijana aliyecheza msimu mmoja tu kiushindani kutokana na kuwa na umri mdogo nyuma kama Mason. Hao watatu wamecheza zaidi ya misimu mitatu wote fulltime as regular players ktk vikosi vya kwanza.

Nje ya Mason (18) , karata yangu naweka kwa Arnold (21) ktk hao wakubwa wenzie aliobaki nao yeye kafanya vizuri zaidi kuliko wote waliokuwa nominated hapo.
Vipi Dean Henderson ?
 
Ningekua Ole kwenye Usajili msimu huku ningefanya maamuzi haya kwenye kila idars uwanjani
Goal keeper
Namuongezea mkataba Dean Henderson halafu namrudisha kwa mkopo tena Sheffield msimu mmoja tena,
DEffenders
Nauza Jones, Rojo, halafu nafanya maamuzi magumu ya kuamua kubaki na Smalling au nimrudishe John Evans(msishangae ila Evans amekua bora zaidi saivi) aje asaidiane na CB zilizopo maana Dili la kuolibaliy ni gumu sana Napoli wanataka hela Mingi,
Dalot bado tunamuhitaji sana kila kama itatokea kuna beki ingine sokoni nzuri nitauxa Dalot na kumleta mtu wa kusaidiana na Spiderman Bissaka.
Midfield
Tunahitaji kiungo yenye Roho mbaya mithili ya Fernandihno hapa ningemchukua Ndidi au Partey au tu naenda Intermilan tunamchukua Brozovic,
Winger ni Sancho wakuongeza,
Striker,
Pale mbele Naona kama Martial na Greenwood wako njema kila wanahitaji goal getter mashine yenye uzoefu zaidi na wakuwapa ushindani madogo, pengine nisingeona Aibu kumchukua Veteran mmoja kama Mandzukic au Ciro Immobile au Dzeko
Yaani umuuze Rojo umsajili Evans na kumrudisha Smalling hahahahaha kweli akili za Muafrica ndio maana hatuendelei.
 
Kwangu Chelsea hawajui wanachotaka, wameongeza watu bila kuzingatia mahitaji
Mkuu huwezi kuwa serious ...kabla ya ban Chelsea ilikuwa na shida ya no.9 wkt ule wa sarri ndo maana akaja timo, Chelsea ilikuwa na shida ya creative midfielder baada ya kuondoka cesc( 90% kai) ... Alivyoondoka hazard tulitegemea odoi atastep up lkn ameshindwa kufikia matarajio ndo maana wameletwa kina ziyech na pulisic.....sahv kuna tetesi za CB , GK, na LB ...wakina john stones, Jose gimenez, Sergio reguilon, chilwell, n.k.
 
Kama ndio hivyo mkuu basi msajali timu nzima, maana Tami alipaswa kuwa next Drogba, kuna back up ya Giroud mna Pulisic na Kovasic kama creative players

Sina takwimu za uhakika sana, lakini nyie na Man Utd hamjatofautiana sana kwenye magoli ya kufunga kwa msimu huu ulioisha, hivyo going forward hampo vibaya sana

Tatizo nyuma pametoboka, kuanzia kipa, na hapo ndipo mlipaswa kuanza nako mkuu wangu

Halafu suala la Kai bado bosi, maana Chelsea wanataka watoe €70 to 80M wakati Liverkusen wanataka €100M

Naona mnasajili sawa lakini mnaposajili hapatakiwi kuwa kipaumbele kuliko beki/ulinzi. Kwenye ukuta ndio foundation ya timu yoyote inayotafuta kitu kwenye mashindano
 
Tututrururuuuuuuu,
1596917931970.jpg
 
Yaani umuuze Rojo umsajili Evans na kumrudisha Smalling hahahahaha kweli akili za Muafrica ndio maana hatuendelei.

Umeona performance ya Evans kwa hii msimu miwili au unakimbilia kwenye kuudharau uafrica
Evans amekua beki mzuri hadi Guardiola alikua anamgangania, na nimesema tumrudishe endapo sokoni mabeki watakua na being kubwa sana maana yeye tunaweza mpata kwa bei ya chini sana akatupush for one season huku tunaangalia mabeki wengine ila squad depth inaongezeka, kwa Smalling siwezi kusema sana maana ligi pia aliyoenda ni nyepesi kidogo ila pia tukimbakiza nitakua ni jambo jema pia
 
Back
Top Bottom