Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Niliuliza jana, timu ina plan B endapo itamkosa Sancho? Au akili zote hazibanduki hapo??
20200810_135647.jpg
 
Kichwa chako huwa kinakusaidia mambo machache sana. Huenda ule usemi kuwa ugali hudumaza akili ni kweli.
Achana na kichwa changu hakitakusaidia kukujibia swali langu.

Tottenham ilifika finali UCL last season na miaka minne minne mfululizo ilikuwa inafika top four kwa kikosi kile kile mbona Mourinho ameshindwa kutwaa kombe walau hata zile Mike mouse trophy kama walilotwaa Arsenal ?
 
Hapa hata ordinary logic inakosekana, kama ilikuwa ni kikosi kizur wakati wa Pochetino je walichukuwa kombe lipi? Walifika fainali ndio, msimu mpya wa UEFA na ligi ulianzaje ??? Kikosi hufikia maturity, ndio maana rebuilding ni muhimu.

Hata cha Solkjaer hakijafikia maturity yuko kwenye rebuild.

Au rebuild inafanyikia Spurs tu mkuu ?
 
Hapa hata ordinary logic inakosekana, kama ilikuwa ni kikosi kizur wakati wa Pochetino je walichukuwa kombe lipi? Walifika fainali ndio, msimu mpya wa UEFA na ligi ulianzaje ??? Kikosi hufikia maturity, ndio maana rebuilding ni muhimu.
Ndombele ni mpya kwenye kikosi,Lo Celso,Bergwijin,Fernandes..rebuilding gani unayoitaka?

Kubali kuwa Mourinho naye mbinu zimeanza kumwishia..Spurs bado wanatalents nzuri tu
 
★Solskjær on Dean Henderson:
"Competition for places is good. It'll be difficult to keep three of them at the club. So we'll see what the decision will be there."★

manutd |
IMG_20200809_155842_039.jpeg
 
NYUMA YA PAZIA

★Ryan Giggs amefichua kuwa ni wachezaji wanne tu ndio kocha Sir Alex Ferguson alikuwa hawasemi/kuwakaripia akiwa Man United, ambao ni Eric Cantona,Bryan Robyson,Roy Keane na Cristiano Ronaldo.
Giggs anasema Fergie alifanya hivyo kwa wachezaji hao kwa sababu walikuwa wakiipa timu ushindi kwa njia zao wenyewe.★

#GGMU
worldsport_14-20200810-0002.jpeg
worldsport_14-20200810-0003.jpeg
worldsport_14-20200810-0004.jpeg
worldsport_14-20200810-0001.jpeg
 
permanides,
Man Utd kwa sasa ina wachezaji wa kutosha kupigania kombe lolote kwa sasa, kinachohitajika ni akili ya mwalimu tu.Spurs haina squad ya kupigania kombe, na hata wakichukua ni ujanja ujanja wa mwalimu tu.

Hapa umeongea ukweli mtupu hata tusipomsajili Jadon Sancho sioni mapungufu makubwa ktk ushambuliaji kwa sasa, hasa hasa hofu yangu ipo kwa beki wa kati zaidi na nafasi ya kiungo wa chini ile nafasi ya Nemanja Matic. Hizi nafasi mbili ndizo tunahitaji watu zaidi maana sina imani sana na maeneo hayo hususani tukipata mechi ambazo tunakuwa exposed under pressure pia Nemanja sina hakika nae kama anaweza kucheza mechi zaidi 30 za EPL back to back kwa nafasi ile ya kiungo wa chini kwa umri wake (31) na kutupa atleast 85% consistency.

Kwa nafasi ya ushambulizi binafsi naona tuko sawa ila tunahitaji hata mkongwe mmoja wa kuwa kama serious backup kwa hawa machalii wetu watatu pale mbele yaaani Anthony, Mason na Marcus. Wakati tunaji-fix na longterm target lakini kwa sasa kuelekea msimu mpya kama Sancho tutampata au tusimpate bado haiharibu nafasi yetu ya kusaka kombe.

Nafasi ya Nemanja ningependa hata tujaribu kukaa na Real Madrid juu ya Federico Valverde huyu namuona kama ni best fit katika ile nafasi pia hata kuleta team balance akicheza na Bruno pamoja na Paul. Kwa Zidane huyu jamaa sio chaguo lake #1 yeye huwa anamtumia zaidi Carlos Casemiro japokuwa msimu huu uliomalizika alikuwa anawachezesha wote kwa pamoja.

Mimi naona tunahitaji wachezaji watatu kuongeza asilimia za kuwa serious title contenders ambazo ni central defender (must), Central midfielder (must) and Stricker/attacker (we need a new guy but not necessarily). Unaweza kushangaa why central defender? wakati tuna wengi? wale wengi huwa muda mwingi wanaumwa wapo vitandani, ni Harry pekee ana uwezo wa kucheza mechi zaidi ya 30 pale za EPL mfululizo wengine hawawezi kidogo Lindelof ila nae He's too soft sio aggressive as a central defender.
 
Ndombele ni mpya kwenye kikosi,Lo Celso,Bergwijin,Fernandes..rebuilding gani unayoitaka?

Kubali kuwa Mourinho naye mbinu zimeanza kumwishia..Spurs bado wanatalents nzuri tu
Kimsingi Totenham wanasquad depth na balance kubwa kuliko chelsea, Arsenal na Man united.

Mourinho wakati akichambua EPL nafikiri ilikuwa mwezi september alisema kwa ubora wa squad waliyonayo Totenham walikuwa Title contenders.

Sasa huyu shabiki wao anapingana na kocha wake.
 
permanides,
Man Utd kwa sasa ina wachezaji wa kutosha kupigania kombe lolote kwa sasa, kinachohitajika ni akili ya mwalimu tu.Spurs haina squad ya kupigania kombe, na hata wakichukua ni ujanja ujanja wa mwalimu tu.

Hapa umeongea ukweli mtupu hata tusipomsajili Jadon Sancho sioni mapungufu makubwa ktk ushambuliaji kwa sasa, hasa hasa hofu yangu ipo kwa beki wa kati zaidi na nafasi ya kiungo wa chini ile nafasi ya Nemanja Matic. Hizi nafasi mbili ndizo tunahitaji watu zaidi maana sina imani sana na maeneo hayo hususani tukipata mechi ambazo tunakuwa exposed under pressure pia Nemanja sina hakika nae kama anaweza kucheza mechi zaidi 30 za EPL back to back kwa nafasi ile ya kiungo wa chini kwa umri wake (31) na kutupa atleast 85% consistency.

Kwa nafasi ya ushambulizi binafsi naona tuko sawa ila tunahitaji hata mkongwe mmoja wa kuwa kama serious backup kwa hawa machalii wetu watatu pale mbele yaaani Anthony, Mason na Marcus. Wakati tunaji-fix na longterm target lakini kwa sasa kuelekea msimu mpya kama Sancho tutampata au tusimpate bado haiharibu nafasi yetu ya kusaka kombe.

Nafasi ya Nemanja ningependa hata tujaribu kukaa na Real Madrid juu ya Federico Valverde huyu namuona kama ni best fit katika ile nafasi pia hata kuleta team balance akicheza na Bruno pamoja na Paul. Kwa Zidane huyu jamaa sio chaguo lake #1 yeye huwa anamtumia zaidi Carlos Casemiro japokuwa msimu huu uliomalizika alikuwa anawachezesha wote kwa pamoja.

Mimi naona tunahitaji wachezaji watatu kuongeza asilimia za kuwa serious title contenders ambazo ni central defender (must), Central midfielder (must) and Stricker/attacker (we need a new guy but not necessarily). Unaweza kushangaa why central defender? wakati tuna wengi? wale wengi huwa muda mwingi wanaumwa wapo vitandani, ni Harry pekee ana uwezo wa kucheza mechi zaidi ya 30 pale za EPL mfululizo wengine hawawezi kidogo Lindelof ila nae He's too soft sio aggressive as a central defender.
Man u ina squad depth kubwa kuliko spurs ???
 
Back
Top Bottom