Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Ole asipochukua Mourinho atachukua pale Spurs mkuu.Ole hawezi chukua kombe lolote la kueleweka.
Ole asipochukua Mourinho atachukua pale Spurs mkuu.Ole hawezi chukua kombe lolote la kueleweka.
Memphis Depay anaipenda sana united lakini hata kuondolewa Kwake hakuvumiliwa tu kwa kipaji chake na mahitaji ya sasa angeweza kuwa msaada.
Sasa hivi dogo ni key man wa Olympic Lyon
CB hawezi kusajili smalling ushaambiwa anarudi
Mtazamo wangu naona Dean Henderson anadeserve hii tuzo,PTER,
Vipi Dean Henderson ?
Huyu chalii kafanya makubwa sana msimu huu, huwa kuna muda nashindwa nimpe nani nafasi ya golikipa bora wa msimu kati yake yeye na Nick Pope. Sio jambo dogo kumaliza na clean sheet 13 ktk mechi 36 ndani ya msimu wake wa kwanza EPL kwa timu iliyopanda daraja, binafsi bila kuwa ktk denial mindset ya sisi mashabiki wa Manchester Utd pamoja na benchi la ufundi kuwa David Degea ameisha ilipaswa huyu Dean arejee kikosini kama goli namba moja kwa sasa.
David ubora wake ulianza kushuka tokea mwaka 2018 kombe la dunia tokea hapo hajawahi kuwa na performance consistency, amekuwa ni golikipa mwenye makosa mengi sana. Hili sakata linanikumbusha ilipowachukuwa muda mrefu sana Real Madrid kuamini kuwa Iker Casillas ameisha na kwetu naona likitutokea pia.
Dean Henderson ndiye golikipa aliyeruhusu magoli machache msimu huu amefungwa goli 33 tu ktk mechi 36 alizokaa golini, mechi zetu sisi na Sheffield tuliwafunga goli 6 hakucheza kutokana na sheria. Sheffield United walipanda daraja mwaka jana, msimu huu wamezidiwa na timu tatu tu za juu kwa kuruhusu wavu wao kutikiswa yaani wamezidiwa na Livepool (33), Man City (35) na Man Utd (36). Timu ambazo magoli kipa wao wanalindwa na mabeki wenye thamani zaidi ya $ 150M kwa kila timu.
😂😂😂😂😂Ole kanenepa
Ni dalili kaanza kula taratibu pesa ya kumnunua SanchoView attachment 1532690
Man Utd kwa sasa ina wachezaji wa kutosha kupigania kombe lolote kwa sasa, kinachohitajika ni akili ya mwalimu tu.Spurs haina squad ya kupigania kombe, na hata wakichukua ni ujanja ujanja wa mwalimu tu.Ole asipochukua Mourinho atachukua pale Spurs mkuu.
Hii chai uliyokunywa leo itakuwa ilikuwa imechanganywa kilevi mkuu.Man Utd kwa sasa ina wachezaji wa kutosha kupigania kombe lolote kwa sasa, kinachohitajika ni akili ya mwalimu tu.Spurs haina squad ya kupigania kombe, na hata wakichukua ni ujanja ujanja wa mwalimu tu.
Hakuna timu inayochukua ubingwa bila ujanja ujanja wa mwalimu mkuu.Man Utd kwa sasa ina wachezaji wa kutosha kupigania kombe lolote kwa sasa, kinachohitajika ni akili ya mwalimu tu.Spurs haina squad ya kupigania kombe, na hata wakichukua ni ujanja ujanja wa mwalimu tu.
Timu iliyoingia final ya UCL msimu uliopita eti haina wachezaji wa kutosha..hahahaha just hahahahaMan Utd kwa sasa ina wachezaji wa kutosha kupigania kombe lolote kwa sasa, kinachohitajika ni akili ya mwalimu tu.Spurs haina squad ya kupigania kombe, na hata wakichukua ni ujanja ujanja wa mwalimu tu.
Tuwekee tuone mkuuWakuu mmeona ile clip iliyovuja ya OLE !? inamuonesha akiwa anazungumza LIKELY kuhusu ishu ya Sancho kwamba jamaa wanataka pesa nyingi but hilo swala watalishughulikia...pia inamuonesha akisema neno TUESDAY mwishoni mwa maneno..
Wadau wanahisi ni SANCHO-centric Convo..anywy lets wait and see.
Source;twitter.
Msimu uliofuata ikafungwa 7 na Bayern na mzunguko wa kwanza wa ligi ikiwa ni ya 14 chini ya kocha na wachezaji wale wale, jiulize bado kama kulikuwa na timu hapo.Timu iliyoingia final ya UCL msimu uliopita eti haina wachezaji wa kutosha..hahahaha just hahahaha
Unapenda kweli kumdefend Mourinho..
Sawa, ila ujanja ujanja lazima haufanyi kazi kwenye vacuum, lazima uwe na wachezaji sahihi kwanzaHakuna timu inayochukua ubingwa bila ujanja ujanja wa mwalimu mkuu.
Tottenham aliyoiacha Pochetino ndiyo hiyo hiyo aliyonayo Mourinho unataka apewe wachezaji gani ?Sawa, ila ujanja ujanja lazima haufanyi kazi kwenye vacuum, lazima uwe na wachezaji sahihi kwanza
Huyu jamaa kalewa chai anachuki binafsi na Solkjaer sijui alimchukulia demu wakeTimu iliyoingia final ya UCL msimu uliopita eti haina wachezaji wa kutosha..hahahaha just hahahaha
Unapenda kweli kumdefend Mourinho..