Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,585
- 2,666
We jamaa nae bhana watu si wanamuita tu kutokana na umbile lake pamoja na michezo yake ya kudansidansi unashindwa hata kujiongezaLingard co dogo wakuu, ni mkubwa kuliko pogba, ni mkubwa kuliko Bruno, ni mkubwa kuliko Bissaka, nahisi pia atakuwa mkubwa kuliko Maguire, ss huo udogo ni kwasabu ya kiwango auu?

)
