Yeyote poa tu ,,, hatutakiwi kuogopa timu tutakayokutana nayo,,,, ! And off course tulishakualifai champion league, hatuna presha, kombe tunalihitaji Kama advantage tu ,,,kudhihirisha ubora wetu na future ya next season tunatakiwa tukutane na timu ngumu ,,,, ! Let's go [emoji123]Baada ya kumlamba copenhagen atakaefuata ni wolves au sevilla we unataka yupi hapo na kwanini?
Hauko seriousNilimaanisha Dortmund
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maume za nani wewe fyalaaMaume zenu out
Haya mambo usituambie sisi mkuu..nenda ukafarijiane na wenzako,humu tutakupa stress tu[emoji23]Angalia leo tunaenda mnywa bayani goli za kutosha..
Meza inapinduliwa kibabe leo..
Sisi sio madrid au Juve
Game itaisha ivi..
Bayan 1-4 Chelsea
Amini Kwamba
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Wewe tulia kama ulivyo, hutaamini matokeo ya leo ..★Hahahahaaa kasheshe ipo leo hawa ChelSix★View attachment 1530855
Sisis tunapita na hakuna wa kutuzuia kwa sasa tunaibeba England mabegani kwetu ...Haya mambo usituambie sisi mkuu..nenda ukafarijiane na wenzako,humu tutakupa stress tu[emoji23]
Wolves ukipangwa Naye utakalia tu ..Baada ya kumlamba copenhagen atakaefuata ni wolves au sevilla we unataka yupi hapo na kwanini?
Mm man u ila hapo nampa Arnold.★HereWeGo #GGMU[emoji123][emoji41]★View attachment 1529977
Cheltako mkishinda Leo nakupa million 2Wewe tulia kama ulivyo, hutaamini matokeo ya leo ..
Haya mazee tunayakimbiza na uwanja wao tuna historia tamu sana..
Amini Kwamba
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]