Hahahaha Daniel James ili acheze vizuri ni pale timu pinzani itakapompa space ya kukimbia sana bila hivyo hana la ziada.
hahahahahahaaaaaa
============================
kabla ya mwezi december bwana james alikuwa ni mchezaji wetu muhimu sana (bado naikumbuka performance yake dhidi ya southampton, alifunga goli zuri sana, ndiye mchezaji pekee aliyekuwa akionyesha uhai siku ile licha ya soton kucheza pungufu kwa muda mrefu).
- alianza kuonyesha hatari sana kwa kushots mipira ya mbali
- alikuwa hatari sana pindi anapo cut inside hususani akitokea kushoto
- high speed especially kwa kukimbia ndani ya box (ndiye alikuwa akiongoza kwa kufanyiwa rafu)
- alitengeneza nafasi na kufunga(mwezi august alifunga magoli 3)
james alileta faida kubwa sana kipindi yupo onform, bahati mbaya sana kipindi ambacho yeye yupo vizuri wachezaji wenzake hawakuwa kwenye viwango sahihi(lingard, perreira), wengine walikuwa majeruhi (pogba baadae rashford) na wengine bado hawakuwa tayari kucheza soka la ushindani (fred na matic).
kama ulivyosema hapo juu james anapendelea zaidi mpira wa free space na ndio muujiza pekee anaoutegemea na kibaya zaidi timu za uingereza zinaufahamu udhaifu wetu (hatuwezi kutake advantage kiuarahisi kwa team zinazoweka 2 low block)
kwa nini amekuwa akiwaonea man city?
jibu umeshalijibu hapo juu
kwa mustakabali wa career yake, daniel anapaswa apambane kwa sababu bado ana muda wa kujifunza zaidi, kufeli kwake mwishoni pia ni faida kiupande fulani kwa sababu tutashuhudia ingizo jipya la winga
na daniel james atakuwa ni additional squad player kama shaqiri na liverpool yake.
kama vipi tuwape dortmund wamtengeneze kwa msimu mmoja