Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Brother wolves wametupiga mara nyingi ujue kuliko hata tulivyowapiga..ni wasumbufu sn.
Ni kweli lakini binafsi naona Inter ni tishio zaidi. Wolves ni kweli kawafunga ila mara ya mwisho mlisuluhu naye na Bruno hakuwepo, next time mkikutana naye naamini mna fighting chance kubwa kuliko mwanzo.
 
Ole alichemka jana kumtoa dogo, alicheza vizuri
manchesterunited___CDhdrCZAMiM___.jpeg
 
Mchezaji kuumia mchezoni ni sehemu ya kazi yake na ni bahati mbaya huwezi kumweka benchi kwa kuogopa atapata injury kwani mchezaji kasajiliwa kwajili ya kukaa Benchi asipate injury ?
Hata mazoezini wanaumia, injuries ni kama ajali tu hujui muda gani au siku gani...
 
Angemuacha dogo aendelee kupata uzoefu.
Dogo anakipaji azidishe utulivu, atakuwa hatari.

Lingard hakui.
Kuna kitu paul scholes alikizungumzia..sijui km ulikiona mkuu..

Paul anahisi ile ni dalili dogo atauzwa..
Ole alichemka jana kumtoa dogo, alicheza vizuriView attachment 1528460
Mwanini mnamwita Lingard "dogo"
Jamaa ni kijeba mwaka huu anatimiza 28 yrs

Ashaitumikia timu tangu zama za SAF
Muda muafaka wa kuuonfoa huu mzigo.....
 
Scholes mzinguaji, eti anasema Lingard na Fred wauzwe, sijui kafikiria nini kusema Fred auzwe

Lingard kutolewa jana haina mahusiano na kuuzwa kwake

Kwenye kikao na Waandishi wa Habari kabla ya mechi ya jana dhidi LASK ya Ole aliwakilisha klabu na Lingard

Ilivyo, akitokea mteja aliye serious dogo atauzwa lakini haina mahusiano na kutolewa jana
Kuna kitu paul scholes alikizungumzia..sijui km ulikiona mkuu..

Paul anahisi ile ni dalili dogo atauzwa..
 
Scholes mzinguaji, eti anasema Lingard na Fred wauzwe, sijui kafikiria nini kusema Fred auzwe

Lingard kutolewa jana haina mahusiano na kuuzwa kwake

Kwenye kikao na Waandishi wa Habari kabla ya mechi ya jana dhidi LASK ya Ole aliwakilisha klabu na Lingard

Ilivyo, akitokea mteja aliye serious dogo atauzwa lakini haina mahusiano na kutolewa jana
Lingard co dogo wakuu, ni mkubwa kuliko pogba, ni mkubwa kuliko Bruno, ni mkubwa kuliko Bissaka, nahisi pia atakuwa mkubwa kuliko Maguire, ss huo udogo ni kwasabu ya kiwango auu?
 
Back
Top Bottom