Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manure jifarijini
IMG_20200801_200212.jpeg
 
Moja ya kitu muhimu kinachofanya Team kuwa na defence nzuri.
Ni kuwa na kipa mzuri ambaye backline watamwamini.


Kwasasa pale ManUnited hiki kitu hakipo.
Maguire-Victor naona hawana imani na De gea.
Ikipigwa shot yoyote kuna walakini kama de gea atasave
.
Results ni backline kucheza bila confidence>>>kucheza chini ya kiwango.
 
Magwaya amesaidia sn..basi tu ni inderrated kulingana na price tag yake..LAKINI JE WAJUA KAMA MAN UTD NDIO TIMU PEKEE ULAYA(top 5 leagues) YENYE CLEAN SHEETS NYINGI KULIKO WENGINE!!??
unadhani hayo matokeo yamekujaje..DEFENSE yetu inaimprove!!
Pale hamna kitu, sababu tu team work, ila na famba nyi gi afu hana pace
 
Kuna sababu mbili kwa maoni yangu ni kwanini man utd inachelewa katika sajili zao.
Ya kwanza ni kwa sababu tuna fan base kubwa sana hivyo ed anatumia nafasi hiyo kufanya biashara kwenye kila kinachofanyika. Kadri anavyochelewesha kutangaza sajili zake anatengeneza shauku ya mashabiki hivyo siku akimtangaza na kuweka kiunganishi cha piano,basi anaweza kurudisha gharama za usajili kwa mauzo ya jezi peke yake (refer inshu ya Sanchez)
Sababu ya pili ni kama united huwa haifanyi target zao mapema sana au walau mwishoni mwa msimu ili dirisha la usajili linapofunguliwa waende kwa ajili ya kuchukua tu. Mfano sajili kama za ma ncity na Chelsea ni kiashiria tosha kwamba wanakuwa wanajua wanataka nini na watapata wapi hivyo ni suala la kwenda kuchukua tu muda unapofika.

Hato maneno tu ya kwenye media kwamba jezi zinarudisha hela ya kumnunua mchezaji kumtambulisha tu

Jezi,Kits hela ya mauzo ni ya mtengenezaji(Adidas,Nike,Puma etc) kwa asilimia 85 na 15%iliyobaki ndio hela ya Club

Sasa imewahi tokea jezi zenye jina la mchezaji zikatoa pauni hata milioni 30 kwa kupitia hiyo 15% share ya mauzo ya jezi?
 
Huyu Sanchez kawa kichomi kweli kwetu sijui mzimu wake utatuandama mpaka lini aisee.

Nimeona pia taarifa Man united wanataka kumtumia Sanchez na Smalling kama ndoano ya kumsajili Skinniar.
Heee Sanchez hamumtaki tena?!

Si mlimchukua kwa mbwembwe nyie.. Arsenal wakaona isiwe tabu, wakawalisha bomu mdomoni.

Ni kiasi cha muda tu, msubiri liwaripukie.

Nyumbuuuu
 
Heee Sanchez hamumtaki tena?!

Si mlimchukua kwa mbwembwe nyie.. Arsenal wakaona isiwe tabu, wakawalisha bomu mdomoni.

Ni kiasi cha muda tu, msubiri liwaripukie.

Nyumbuuuu
kwenye dili la sanchez na mkhitaryan hakuna mwenye uthubutu wa kumcheka mwenzake, tofauti kubwa ilikuwepo kwenye maslahi ya wachezaji binafsi
 
Back
Top Bottom