Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Hakuna kitu kama hicho★Times wanasema katika dirisha hili la msimu wa majira ya Joto MANCHESTER UNITED itawatoa kakribani wachezaji 8 mpaka 9 #GGMU★
manutd | View attachment 1521232
Hakuna kitu kama hicho★Times wanasema katika dirisha hili la msimu wa majira ya Joto MANCHESTER UNITED itawatoa kakribani wachezaji 8 mpaka 9 #GGMU★
manutd | View attachment 1521232
Hakuna kitu kama hicho
Jiulize, Sasa wewe umejuaje kama Mou angekaa 20yrs chelsea angechukua zaidi ya hizo alizochukua??Miaka 22 vikombe vitatu ni kitu cha ajabu? Unaniuliza Mourinho Chelsea amepata nini? Angalia kakaa muda gani na ameshinda epl ngapi? Angalia Pep amekaa city muda gani ameshinda epl ngapi?
Miaka 22 kwenye epl na kushinda vikombe vitatu sio mafanikio,at least by my standards.

Ukizingatia alitimuliwa?!!!



Ulimfukuza kazi wewe kama nani?Mfuate Mourinho huko aliko Man united tulishamfukuza kazi.
Kwani kipindi kile na sasa kuna tofauti?Man utd ilikuwa hovyo sana kipindi kile..hakuna top talent player angeweza kuja..
Hata Toni kroos tulimtaka ila madrid walipojitokeza akatupotezea..
Man u walikuwa bora zaidi yetu lakini mwishowe tumelingana point..Sasa kwanini msiombe nanyi mkae juu ya man u ? Kwani mnalingana naye!



Unapotaja list ya meneja waliofanikiwa EPL huezi mwacha Prof haijalishi katumia muda gani cha msingi kapata nini,Arsene Wenger amekuja Arsenal mwaka 1996 alikikuta kikosi cha kina Tonny Adams, David Seaman, Wintuburn, Ian Wright kikiwa fire, na ndicho kikosi hicho hicho kilichochukua ubingwa mwaka 1998 na baadaye wachache wakastaafu lkn asilimia kubwa walibaki na ndiyo wakachukua tena epl mwaka 2002, kikosi pekee ambacho Wenger at least atajisifia kwa asilimia kubwa alikijenga yeye (na sio chote) ni kikosi cha 2004 ambacho ndicho kikosi cha mwisho kuchukua epl ni kile cha Thierry Henry.
Ss Wenger amekaa Arsenal miaka 22 kikombe kikubwa anachojivunia ni epl, no ucl, no europa hv apo utasema ana mafanikio kweli? Na baada ya wale wachezaji alowakuta kustaafu wote hapo ikamuwia vigumu kuendeleza consistence na huo ndio ukweli japo unauma but statistics don't lie.
Hoja hupingwa kwa hoja nimekwambia Wenger katua England 1996, makombe ya epl aliyoshinda ni ma3 kati ya hayo ni kikosi kimoja tu ndo alikiunda yeye mwenyewe japo co chote yn kiuhalisia Wenger ana taji moja tu la epl ila kwa heshima ya statistics huwa tunasema ma3, unaniambia cna cna nnachojua kuhusu Wenger je ni kipi hicho nsichojua ndo nakusubiri unikosoe kwa hoja, ila pole sn cz nahisi umeumia sn kuujua ukweli huuUnapotaja list ya meneja waliofanikiwa EPL huezi mwacha Prof haijalishi katumia muda gani cha msingi kapata nini,
Acheni story za kusadikika, alafu nilichogundua huna unachokijua kuhusu huyu mzee ktk history ya hapo England



Hili swali ni la kijinga..sijibu ujinga.Kwani kipindi kile na sasa kuna tofauti?
Sisi Man united hatuhitaji kusajili tena kikosi chetu ni kipana sana, tunaweza kuchukua uefa msimu ujao kabisa
Pogba, bruno, rashford, Martial, hawa wanaweza kutupa epl, uefa, fa hata calabao
Ole kashaliona hilo
hii ni SarcasmSisi Man united hatuhitaji kusajili tena kikosi chetu ni kipana sana, tunaweza kuchukua uefa msimu ujao kabisa
Pogba, bruno, rashford, Martial, hawa wanaweza kutupa epl, uefa, fa hata calabao
Ole kashaliona hilo
★Times wanasema katika dirisha hili la msimu wa majira ya Joto MANCHESTER UNITED itawatoa kakribani wachezaji 8 mpaka 9 #GGMU★
manutd | View attachment 1521232


City washaanza kuingia sokoni
✓Two deals are about to complete..Torres wa Valencia na Ake wa Bournemouth
Tusilaze damu na sisi,tukamilishe hizi deals mapema,wachezaji wawe pamoja kwenye pre season hata kama ni fupi