Hajanifanya chochote mkuu.
Ila sioni mantiki ya kutoa hela nyingi kwa mchezaji below average kama hela tuliotoa kwa kumnunua Maguire.
Scouts wa Man Utd wanaweza kuleta mchezaji mzuri zaidi yake kwa gharama ndogo kabisa. Vilevile kwa Sancho, unatoa £100M kwa lipi la maana pale? Kisa tunashida ya winger?
Mawazo ya Arsene Wenger haya eti unatoa £100mil kumnunua Neymar wkt kina Neymar wapo wengi matokeo yake tm ikawa ya kawaida zama zote za uongozi wake mpk leo, mkuu unapotaka kutengeneza tm wachana na mawazo km hayo man u ni tm kubwa usitegemee kupata mchezaji kwa pesa ndogo hata huyo Bruno unayesema kanunuliwa kwa pesa mbuzi lkn ukiingia deep mpunga wake utakimbia.Hela ya Grealish unampata Partey na VDB na chenji inabaki.
Wachezaji kama kina Neymar hawaji kila mara.Mawazo ya Arsene Wenger haya eti unatoa £100mil kumnunua Neymar wkt kina Neymar wapo wengi matokeo yake tm ikawa ya kawaida zama zote za uongozi wake mpk leo, mkuu unapotaka kutengeneza tm wachana na mawazo km hayo man u ni tm kubwa usitegemee kupata mchezaji kwa pesa ndogo hata huyo Bruno unayesema kanunuliwa kwa pesa mbuzi lkn ukiingia deep mpunga wake utakimbia.
Kwa maajabu gn aliyonayo Neymar? Ok ngj nimheshimu Neymar niheshimu na mawazo yako pia.Wachezaji kama kina Neymar hawaji kila mara.
Naunga mkono kuwanunua hata kwa £300M ila sio Grealish.
Wa nini tena huyu?Kuna rumours kwamba UTD wanamtaka JAMES RODRIGUEZ wa madrid na wanajiandaa kuweka dau la £25MILL
MY TAKE; aje tu ila gharama isizidi £30mill maana tunahitaji squad depth.
Hakuna timu italipa £80 kumnunua Grealish, huyo akiuzwa ni chini ya hapo, au nusu ya hiyo bei(£40)Bruno na CR7 tumewapata kwa right price na Sporting Lisbon ni timu kubwa Ureno. Aston Villa inapambana kushuka daraja EPL.
Grealish ana nini cha zaida cha kununuliwa kwa £80M? Au uuziwe Sancho kwa £130M kwa lipi??
Man U wameiona kama vile ni sehemu ya kutajirisha club zao,,, Yaani Grealish mwanzoni thamani yake ilikuwa ni 59M Euro , sasa baada ya kuona kuwa dau la Sancho ni zaidi ya 100M Euro na wenyewe wakaamu kupandisha dau. Jamani kwani hakuna mbadala wa Mchezaji mwingine kuliko kutoa 80M Euro kwa Grealish?
Haya mambo ya kuuza mchezaji kwa bei kubwa sana ndio matokeo yake wanaenda kucheza kwa pressure kubwa sana, hivyo kucheza chini ya viwango,,,,, Labda kama watakuwa na roho ngumu kama ya Bruno Fernandes.