Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu nzima iko exhausted sana hivyo expect kabisa hali kama hii tuliyonayo.

Kucheza back to back mfululizo kunachosa sana wachezaji halafu kibaya zaidi wachezaji wengi wamerudi kutoka lockdown wakiwa off form sana.

Fred na Scot wamerejea lakini wakiwa hawako form kama tulivyowazoea pamoja na Rashford hayuko sawa sawa sana.

Defence yetu namuona Lindelog tu ndiyo ana afadhali japo wengi tunamlalamikia humu bila kujua kuwa tatizo liko wapi.

Kuhusu AWB toka amerudi kutoka Lockdown naona Solkjaer hali ya kwenda kushambulia imecompromise sana uwezo wake defensively anapanda mbele sana au au analazimika kuingia ndani pale Lindelof au Maguire wanapopanda kufanya build up hivyo eneo lake kuonekana free space.

Brandon William's kwa mechi hizi mbili pamoja na makosa mengine amejitahidi sana kuziba pengo la Luke Shaw mechi zote tatu tulizocheza kuanzia Southampton Midfield na Front three zetu zilikuwa zinapoteza sana mipira kwahiyo defence ilikuwa kwenye wakati wa tahadhari muda wote kufukia makosa ya mara kwa mara ya kina Pogba na Rashford.

Imagine mechi ya jana Rashford hakuvuka mstari kuja kusaidia defence na kila mpira alipata aliupoteza kizembe na hakufanya juhudi za kutafuta hali kama hii lazima ingetusumbua sana.
Yaani Rashford aliniboa sana jana..Atleast basi ufanye vitu basic kama hujapick form yako..yeye ndo kwanza anaharibu mambo,kila saa anapoteza mpira.

Martial hata akiwa off-form bado kuna vitu basic anafanya unaona sio mbaya
 
Jana.
AWB
Pogba
William, walikuwa tatizo.

Magwaya ni tatizo la kudumu, Pogba anaforce kumjoin kwenye hii kategory.
Mechi mbili zilizopita Pogba amehamishiwa kucheza kulia with a limited role hii hali imepunguza sana effectiveness yake kwenye kuanzisha attack.

Kama tunavyojua Pogba is so careless when it comes to defending kumchezesha deep kama anavyofanya Ole anakuwa easy prey kwa washambuliaji wanaovizia. Hayo yalitokea kwenye game na Soton, game ya jana na game ya chelsea.
 
Unamaanisha Pogba na Matic ni wrong partnership?
 
@DullyJr kuja pande hizi, Kuna mtu kwanza kuleta ujinga huku, hebu muweke mahali pake akashitaki kwa Mods

CH3L5EA

3 inarepresent sponsor na hiyo 5........

London is Red
1595495488792.jpg
 
Mie sina la kusema sana ila niwatakie tu fans wenzangu kila la heri tumpige Leicester, wacha msimu uishe huu,hata hapa tunasema Ebenezer ,kuna saa natamani Ole aendelee kubaki kuna saa nachoka ila anyway tumpe nafasi zaidi pengine mazuri yaweza kuja km kwa Klopp
 
Defence hiyo imeruhusu magoli 36, mpaka sasa.

Sawa na magoli waliyoruhusu Shefield united.

Liverpool GA ni 32,
Man city GA ni 35,

Wengine wote wameruhusu goli nyingi kuliko sisi.
Kuna timu ipo top six imeruhusu magoli zaidi ya nusu karne(50+).

Msimu(GA ilikuwa 50+)
uliopita ndio ungesema hivyo ila msimu huu hapana.

2012/2013, Babu SAF. Alibeba EPL timu ikiwa imeruhusu magoli 46.
 
na ukitoa uzembe wa Kipa beki yetu imejitahidi sana msimu huu, kipindi wote 4 wapo fit, Shaw, Maguire, victor na Bissaka tulifululiza clean sheet za kutosha.
 
Nafasi yetu ktk champions league

1.Tukushinda tunafuzu
2.Tukitoa draw tunafuzu

3.Tukifungwa;Hapa inategemea
-->kama tukifungwa alaf chelsea akashinda basi sisi tuapoteza nafasi ya champions league

-->Tukifungwa alaf chelsea akafungwa basi sisi TUNAPITA

SO; me nataka Chelsea AFUNGWE na Wolves alaf sisi tutoe DRAW na Leicester ili sisi na Leicester tungie top 4 alaf Chelsea akacheze Europa

Au wanangu mnasemaje
 
Sisi hatuna shaka sana maana uhakika wa nafasi ya tatu basi tunao.

Ninyi manyumbu tujue moja muko tayari kwenda nafasi yenu ya tano au mupambane mubaki ya nne ...
 
Nafasi yetu ktk champions league

1.Tukushinda tunafuzu
2.Tukitoa draw tunafuzu

3.Tukifungwa;Hapa inategemea
-->kama tukifungwa alaf chelsea akashinda basi sisi tuapoteza nafasi ya champions league

-->Tukifungwa alaf chelsea akafungwa basi sisi TUNAPITA

SO; me nataka Chelsea AFUNGWE na Wolves alaf sisi tutoe DRAW na Leicester ili sisi na Leicester tungie top 4 alaf Chelsea akacheze Europa

Au wanangu mnasemaje
Wanao wakina nani?? Wewe una watoto apa??
 
★Haina kupinga hapo afadhari Leicester City aonjepo utamu wa UEFA Champions League

Back
Top Bottom