NtYga
JF-Expert Member
- Aug 23, 2018
- 4,984
- 12,832
★Wahenga tukisema huwa yanatimia sasa hawakutuelewa mwanzo na kutubishia wakati huo onyo na mapendekezo tulitoa mwanzo kabisa kuwa kati yao ChelSix na Leicester city wachague nani Anaachia hiyo Top 3 [emoji23] lakini Huyu kisirani Chelsix akajifanya kisirani haya bhana acha tuone [emoji23]★