Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu imeishiwa pumzi kibaya sub hakuna mchezaji wa maana wa kubadili matokeo we need at least 3 world class players if not 4 beki wa pembeni 1 wa kati 1 winger 1 machachari level za hazard akiwa kwenye ubora wake plus a deadly striker
 
Ulichokiandika kinajieleza, sasa jamaa anaomba matokeo ya Burnley.

Infact, ni Burnley pekee aliyeshinda pale Anfield kwa kutoa draw msimu huu, wengine wote wamefungwa.
Naona ndo maana jamaa kamuulizia maana angalau yeye ndo alitoka na ushindi wa draw... tena baada ya Liver kujihakikishia ubingwa...
 
Timu imeishiwa pumzi kibaya sub hakuna mchezaji wa maana wa kubadili matokeo we need at least 3 world class players if not 4 beki wa pembeni 1 wa kati 1 winger 1 machachari level za hazard akiwa kwenye ubora wake plus a deadly striker
Its true after covid 19 vijana wametumia nguvu kubwa sana na sasa wamechoka vibaya but naona leicester ndio wamechoka zaidi kwahiyo wataleta 3points hiyo jpil.
 
Wewe hukuona impact ya Bissaka alipoingia ?

Haukuona Westham wakati Fosu Mensah kulia kuligeuka uchochoro ?
AWB anazuia vizuri lakini hasaidii kabisa mashabulizi. Wanapiga cross mbovu ajabu. Mpira wa kiisasa beki za kulia na kushoto zilitakiwa zine zinapanda na kutoa cross. Nawakumbuka akina Oshea, Evra, the Neviles. AWB na William wanatakiwa kuwepo lakini siyo first 11. Tunahitajika beki 2 na 3 za uhakika ili tushinde makombe.
 
AWB anazuia vizuri lakini hasaidii kabisa mashabulizi. Wanapiga cross mbovu ajabu. Mpira wa kiisasa beki za kulia na kushoto zilitakiwa zine zinapanda na kutoa cross. Nawakumbuka akina Oshea, Evra, the Neviles. AWB na William wanatakiwa kuwepo lakini siyo first 11. Tunahitajika beki 2 na 3 za uhakika ili tushinde makombe.
Jana.
AWB
Pogba
William, walikuwa tatizo.

Magwaya ni tatizo la kudumu, Pogba anaforce kumjoin kwenye hii kategory.
 
Mc cane
20200723_101322.jpeg
 
Hapa hatuna kocha.
Mikakati ya kumreplace ianze.
Kwa kocha Ole ata miaka kumi hii team itakuwa inagombania nafasi ya 4 na 5
tulishawahi kuwa na proven managers wawili ambao ni master of tactics na kiuongozi kwa nyakati tofauti lakini wakashindwa kuyafikia malengo makubwa tuliojiwekea kupitia migongo yao (jose mourinho na louis van gaal), hatimaye wakatimuliwa ndani ya muda mfupi baada ya kufanya vibaya (hapa simaanishi ya kwamba hatuhitaji tena proven manager ndani ya timu yetu kama wengi wetu tunavyotamani iwe).

baada ya kufeli mbinu ya kufanya panic investments kwa lengo la rebuilding kupitia makocha wakubwa wawili nadhani uongozi wa klabu waliamua kujitathmini na hatimaye ndipo wakafikia uamuzi wa kutafuta mwalimu atakayekuwa na uwezo wa kuirudisha upya identity ya klabu na kwa kipindi kile (kati kati ya msimu) mwalimu pekee ambaye ulikuwepo urahisi wa kumshawishi alikuwa ni ole gunnar solskjaer (kwanza ndio chaguo rahisi na pekee lililokuwa lina ufahamu vilivyo utamaduni wa klabu ya man utd) na hapa tuwe wakweli lisingelikuwa jambo rahisi hata kidogo kuchukua makocha mfano wa massimiliano allegri (kutoka juventus) au mauricio pochettino.

pia tufahamu uwepo wa Ole si mwisho wa harakati, muda wowote klabu ina uwezo wa kutafuta mwalimu mwengine pindi itakapohitaji kufanya hivyo hususani pale tutakapoona Ole si mtu sahihi wa kutusogeza mbele (kwa sasa bado hatujafikia hatua hiyo licha ya kasoro kadhaa hususani za kimbinu alizonazo mwalimu).

tunamuhitaji Ole mpaka pale atakapofanikiwa kuinyoosha tena klabu na kwa sasa tuna muelekeo mzuri sana kwa rebuilding hii anayoifanya (amemuondoa lukaku, sanchez, rojo, young, valencia, fellaini, darmian) na ni matumaini yetu dirisha lijalo tutazishuhudia sura nyengine zikionyeshwa mlango wa kutokea (kati ya lingard, perreira, mata, jones, dalot)

juzi nilishazungumzia udhaifu wa Ole kimbinu (jana tumewekewa blocking, wachezaji wetu walighasiwa kidogo hususani bruno tukashindwa kupiga shots on target kwa dakika takribani 20 baada ya kufunga goli)
==============================

nje ya uwezo wa Ole kimbinu tuna matatizo mengineyo mawili kwa matatu ambayo yanatukumba kwa muda mrefu:
  1. bado tuna kundi kubwa la incompetent players (si mourinho wala van gaal aliyeweza kuwageuza wachezaji hawa na kuwa na viwango vikubwa), tunahitaji muda na soko sahihi ili tuweze kuwaondoa wote...Nakumbuka jose mourinho aliwahi kusema kumaliza nafasi ya pili yalikuwa ni mafanikio ya kujivunia zaidi
  2. majeruhi ya mara kwa mara kwa wachezaji wetu muhimu
matatizo hayo mawili huzalisha tatizo sugu la squad depth, wachezaji wetu muhimu (rashford, pogba, martial) wanapopata majeruhi nafasi zao huzibwa na incompetent players, tofauti na team kama vile man city ambao wana kundi kubwa la wachezaji wenye viwango vinavyoridhisha kimashindano, hivyo basi hata kama tutalikusanya jopo la makocha wataalamu basi wasingeliweza kutuletea chanjo ya muda mfupi kama tunavyotaka Ole atuletee chanjo hiyo akiwa peke yake.

kiuongozi(sizungumzii tactics) Ole ameonyesha mafanikio makubwa sana ndani ya miaka yake miwili ya kiutawala, kwanza ametusaidia kwa kiasi kikubwa sana kuifahamu hali halisi iliopo klabuni kwetu especially kwa wachezaji tulionao,
takribani wachezaji wote kwa nyakati tofauti amewapa nafasi ili kuthibitisha uwezo wao mbele ya hadhira na hatua hii imetusaidia kwa kiasi kikubwa sana kumfahamu kila mchezaji wasifu wake ambao utatuwezesha kufanya utabiri wa mustakabali wa mchezaji huyo,

kwa mfano
  1. leo hii tunaweza kutabiri muelekeo wa lingard, perreira, jones whether wanastahili kuendelea kuwepo au kinyume chake kwa mujibu wa performance zao
  2. amewapa nafasi fred, matic, scott kwa nyakati tofauti na wameonyesha viwango vikubwa sana (naamini sote tunakubaliana hao wote wanastahili kuendelea kuwepo na hatuhitaji ingizo jipya eneo hilo)
  3. amewapa nafasi williams na dalot, kwa fikra za haraka tayari tumeshafahamu ya kwamba hao vijana bado hawajawa backup sahihi kwa fullback zetu (wakiwepo uwanjani tuna struggle sana)
  4. daniel james, harry maguire na wan bissaka tumewasajili msimu huu na wamekuwa na msimu wa majira (performance zao zinabadilika), bado hatuwezi kuwaweka katika kundi la usajili uliofanya vizuri na vile vile hatuwezi kuwaweka kwenye kundi la usajili mbovu (wanahitaji msimu mwengine chini ya mwalimu aliyewaleta), kinyume chake anaweza kuja mwalimu mwengine akaonyesha dalili ya kutowahitaji na hatimaye gharama za paundi millioni 140 kwa wachezaji hao watatu zikageuka hasara...... hatimaye tukarudi tena kule kwenye vita ya mourinho na ed woodward, jose anamuhitaji beki 3 wa kuziba nafasi ya luke shaw lakini woodward anasita kulipa hela kwa alex sandro, kwa nini nilipe hela haliyakuwa van gaal alimleta luke shaw kwa paundi millioni 30.
kama kweli Ole ni mwalimu mbovu kiasi hicho basi asingeliweza kugeuza matokeo baada ya ujio wa bruno fernandez (tungeliendelea kufungwa na si kuwa unbeaten kwa takribani mechi 19), hii ni dalili tosha ya kwamba his strategies was correct, hata kipindi hiki ambacho tuna struggle dhidi ya team zinazofahamu udhaifu wetu kiuchezaji (nimeuzungumza juzi kwa uelewa wangu) licha ya kuwa na kundi bora la wachezaji wa kikosi cha kwanza inaonyesha dhahiri ya kwamba pia tunakosa PLAN B (wachezaji wakubadili matokeo pindi plan A inapofeli).

mfano jana: rashford na bruno walikuwa ovyo sana lakini benchi yupo daniel james, ighalo, scott (PLAN B ya ovyo kwa timu kama man utd), hata huyo guardiola angelishindwa na ameshawahi kushindwa msimu wake wa mwanzo akiwa man city
===================================

mimi si mshabiki wa kutupwa wa Ole na nilishaonyesha wasiwasi wangu kwake tokea pre season na ujio wa swala daniel james na wan bissaka (nilimpenda thomas mounier) ila kwa mwenendo huu anaokwenda nao nadhani anastahili mwaka mwengine utakaokuwa hauna excuses yeyote kutoka kwake (ameshawafahamu wachezaji wetu kiviwango na kiafya).

Naamini msimu ujao anaweza kutuletea wachezaji wengine japo wawili wenye viwango vikubwa watakaojenga squad bora itakayodumu kwa muda mrefu hata kama atakuja mwalimu mwengine.

tukisema tulete mwalimu mwengine ghafla msimu huu usiokuwa na maandalizi ya kutosha tutakuwa tunakaribisha hatari kwa sababu mwalimu mpya anakuja style mpya ya kiuchezaji na kiuongozi, Ole alipoingia klabuni katikati ya msimu alikuta mambo mengi yakiwa ovyo kuanzia ishu ya maadili (migogoro ya wachezaji na mwalimu aliopita) na hata style ya kiuchezaji(more defensively) lakini kwa sasa hali imerejea kama zamani chini ya fergie

ujio wa mwalimu mpya kwa sasa
  • wachezaji watahitaji kuendana na mfumo mpya wa mwalimu ndani ya muda mfupi uliopo
  • watakaoshindwa patahitajika plan B ya kuleta wachezaji wengine, cycle itakuwa inaendelea
hata kwa upande ole alipokuja ilikuwa ni hivyo, wachezaji aina ya smalling, lukaku na darmian walikuwa wanapata nafasi chini ya mourinho lakini Ole alipokuja aliona hawanifai tena kimfumo.

kwa sasa tunafamu fika mwalimu ana tatizo fulani kimbinu na tunafahamu fika wachezaji fulani hawatufai. Kama changamoto hizo atashindwa kuzitatua mwenywe msimu ujao basi hapatakuwepo tena sababu ya kumtetea.

OLE anaweza kuwa ni toilet paper ..
OLE anaweza kuwa ni nabii wetu mwengine...
kazi kwake
 
★Jana hatujacheza fresh kiviiiiiiile ila msimamo unanifurahisha kinoma Hhhahahhhaa #GGMU★
Tumeuona
Mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno Umetutoa mbali,
Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
(Chini, chini, chini)
Chini hata juu
Watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele (Natutakusifu)
Twasifu jina lako,View attachment 1514764
 
AWB anazuia vizuri lakini hasaidii kabisa mashabulizi. Wanapiga cross mbovu ajabu. Mpira wa kiisasa beki za kulia na kushoto zilitakiwa zine zinapanda na kutoa cross. Nawakumbuka akina Oshea, Evra, the Neviles. AWB na William wanatakiwa kuwepo lakini siyo first 11. Tunahitajika beki 2 na 3 za uhakika ili tushinde makombe.
Timu nzima iko exhausted sana hivyo expect kabisa hali kama hii tuliyonayo.

Kucheza back to back mfululizo kunachosa sana wachezaji halafu kibaya zaidi wachezaji wengi wamerudi kutoka lockdown wakiwa off form sana.

Fred na Scot wamerejea lakini wakiwa hawako form kama tulivyowazoea pamoja na Rashford hayuko sawa sawa sana.

Defence yetu namuona Lindelog tu ndiyo ana afadhali japo wengi tunamlalamikia humu bila kujua kuwa tatizo liko wapi.

Kuhusu AWB toka amerudi kutoka Lockdown naona Solkjaer hali ya kwenda kushambulia imecompromise sana uwezo wake defensively anapanda mbele sana au au analazimika kuingia ndani pale Lindelof au Maguire wanapopanda kufanya build up hivyo eneo lake kuonekana free space.

Brandon William's kwa mechi hizi mbili pamoja na makosa mengine amejitahidi sana kuziba pengo la Luke Shaw mechi zote tatu tulizocheza kuanzia Southampton Midfield na Front three zetu zilikuwa zinapoteza sana mipira kwahiyo defence ilikuwa kwenye wakati wa tahadhari muda wote kufukia makosa ya mara kwa mara ya kina Pogba na Rashford.

Imagine mechi ya jana Rashford hakuvuka mstari kuja kusaidia defence na kila mpira alipata aliupoteza kizembe na hakufanya juhudi za kutafuta hali kama hii lazima ingetusumbua sana.
 
Back
Top Bottom