Kwanini Fosu- Mensar alitolewa pia Dalot alikuwa nje.Huo upande wa Bissaka angecheza nani ?
I prepared for this. But not for this mess they are doing to usMkuu unafurahia huku wakati kwako kumeanza kufuka moshi
Nani kasema ..angalia meza inapinduka ukoLeo tunakaa rasmi nafasi ya 3.
GGMU
Nilikwambia Game zako mbili za Liverpool na Wolves lazima udondoshe pointi ukashupaza shingo.Nani kasema ..angalia meza inapinduka uko
Magoli matano ni mengi sana.Nani kasema ..angalia meza inapinduka uko
Fred ameshuka kiwango lini?..Huyu Pogba yupo serious kweli kumtegemea kuibeba team aya yote anayataka Fred kwa kushuka kiwango chake
Pole sana kaka, 5 nyingi sana. Mmekuwa humiliated kweli.I prepared for this. But not for this mess they are doing to us
Imepinduka kweliNani kasema ..angalia meza inapinduka uko
Izo hela unafikiri zinaokotwaTunakazi ya kusajili beki wawili mbavu ya kushoto na kulia + beki wakati 1
Winga 1 + kiungo 1.... Watu wanacheza wamechoka Kama wamevaa Maboga miguuni
GGM
Ni zako?!?Izo hela unafikiri zinaokotwa
Wewe hukuona impact ya Bissaka alipoingia ?Kwanini Fosu- Mensar alitolewa pia Dalot alikuwa nje.
Wewe zakoNi zako?!?