Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,107
- 53,624
Aje kama Backup.Kumuweka au kutomweka benchi mtu pale Man Utd itategemeana na mchezaji gani atakayekuwa kwenye kiwango cha juu
Lakini jambo la uhakika, Grealish akipewa nafasi atachangia kuliko Lingard na Pereira, Grealish akisajilowa atawapa Pogba na Fernandez ushindani mkubwa wa namba kuliko Lingard na Pereira.
Pia Grealish atakuwa option kubwa kwenye rotation ya wachezaji au injury ikitokea kuliko ilivyo kwa Lingardinho na Pereira.
Nakubaliana na wewe.
Japo tunaweza kuangalia wachezaji wengine kwenye nchi nyingine kama tulivyompata Bruno.
Waingereza hakuna kitu.