barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Kwani msimamo unasemaje?Mkuu anafuatilia EPL kweli? au ushabiki tu.
Kwani msimamo unasemaje?Mkuu anafuatilia EPL kweli? au ushabiki tu.
Msimamo unaonyesha Man united amezifunga zaidi timu zilizo top ten kuliko bottom ten.Kwani msimamo unasemaje?
15Wakuu nikumbusheni, Ollachunga alisema Rashford akifunga goli ngapi anajipiga ban?
Man U kazikamua Sana timu kubwa na ubovu wake ulikuwa kwenye timu ndogoManchesta bhana, kubalini zamanzenu zimepita. Mnashinda dhidi za timu bottom half mnaona mmerudi...
Wakati unaandika hii post uliandika ukiwa kwenye kiti kirefu?
Mmmhh umepotea ndugu hakuna wakumfikia martial hapo .. nimecheka,![]()
Mkuu wewe endelea kukazakaza piga porojo zote utapata huku JF hiyo nafasi ya 3, kule EPL zina wenyewe babalao.Michezo 16 mfulilizo hatujapoteza, tuna wastan wa kufunga goli 2.7 per match.. kama ni hesabu za lukadiria hizo ni sawa n goli 3 kwa mechi
hakuna utopolo yeyote alieko Europa mwenye kutusumbua hata mmoja , huko hata hatuna wasiwasi, tunataka nafasi ya 3 hapa kwa malkia, leo hata iweje n letu
Haina wenyewe, ina mwenyewe, na mwenyewe ni sisiMkuu wewe endelea kukazakaza piga porojo zote utapata huku JF hiyo nafasi ya 3, kule EPL zina wenyewe babalao.
Hahahaha mnachekesha kweli..Wapinzani wameanza kutuogopa wamebaki kuropoka vitu vya uongo..Eti mtu anasema sisi msimu huu tumeweza kufunga timu za bottom half tu..like serious??
Sema Ollachuga wewe ..Ollachunga ndo nini,??Wakuu nikumbusheni, Ollachunga alisema Rashford akifunga goli ngapi anajipiga ban?
Mkuu hujawazoea tu? Wakishashinda tu mechi tuwili tutatu wanajisahau kabisa na vile ole keshawajulia basi anawaendesha anavyotaka..Mkuu wewe endelea kukazakaza piga porojo zote utapata huku JF hiyo nafasi ya 3, kule EPL zina wenyewe babalao.
Angalia huyu naye..Haina wenyewe, ina mwenyewe, na mwenyewe ni sisi
Uyo man u yuko nafasi ya ngapMan U kazikamua Sana timu kubwa na ubovu wake ulikuwa kwenye timu ndogo
Sasa kama dawa ya timu imepatikana tunaenda vzr
Msimamo wa wapi uo?Msimamo unaonyesha Man united amezifunga zaidi timu zilizo top ten kuliko bottom ten.
Wakishinda game zao zote wanaeza mnyang'anya liverpool ubingwaOk...
Basi mnabeba kombe
Naona ulivyopanik, relax mkuu huu mchezo hauhitaji hasira.Mkuu hujawazoea tu? Wakishashinda tu mechi tuwili tutatu wanajisahau kabisa na vile ole keshawajulia basi anawaendesha anavyotaka..
Ingekuwa liverpool ajabeba ubingwa wangeanza piga hesabu za ubingwa..hahaha angalia saiv wanapiga esabu za nafasi ya tatu utadhani mpira wanacheza wao tu ..
Enewei Hili timu na mashabiki zake wanajijua wenyewe..