Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sisi tunapigania nafasi ya tatu nyie endeleenii kubaki hapo mlipo sisi hatuwezi kukaa uswahilini.
Huwezi kukaa uswahili na wakati sasq ivi unaishi uswahilini

Walimwengu mna vituko sana. Hebu nikumbushe una muda gani hapo? Toka mwaka jana siyo?
 
★Mwenye chake Mpe mkuu kwani unataka kusema hauioni kazi yake Bwana mdogo na Umaridadi wake wakusakata kabumbu nakupenya kati kati ya walinzi wa timu Pinzani kwa kasi ya ajabu na Umaridadi wa hali ya Juu kuzidia Umri wake.
Bicycle kick zakutosha yani ukiona Bicycle kick ujue mtu kaisha we ulitaka tumrambe miguu nani Victor Lindelof???? we ni mkubwa sana Sasa Ntashangaa kujikuta huoni Pongezi zinatakiwa kwenda kwa Nani !! au ndio kujikuta huoni kinacho onekana
Umeona namtaja au tunamtaja japo ndo captain aliyeongoza timu kubeba EPL? ... mtu akicheza vimechi vitatu tu hypes kama zote. Saa hii naona mshaanza mlamba nyayo Greenwood mliyekuwa mnamsema ni mtoto nyoronyoro. Akienda vimechi vitatu mtasema the best wonderkid
 
★Mwenye chake Mpe mkuu kwani unataka kusema hauioni kazi yake Bwana mdogo na Umaridadi wake wakusakata kabumbu nakupenya kati kati ya walinzi wa timu Pinzani kwa kasi ya ajabu na Umaridadi wa hali ya Juu kuzidia Umri wake.
Bicycle kick zakutosha yani ukiona Bicycle kick ujue mtu kaisha we ulitaka tumrambe miguu nani Victor Lindelof???? we ni mkubwa sana Sasa Ntashangaa kujikuta huoni Pongezi zinatakiwa kwenda kwa Nani !! au ndio kujikuta huoni kinacho onekana
Huyu bwana , ni wasiwasi ameshawahi kumuona Greenwood hata kwa mechi tatu.
 
★Mwenye chake Mpe mkuu kwani unataka kusema hauioni kazi yake Bwana mdogo na Umaridadi wake wakusakata kabumbu nakupenya kati kati ya walinzi wa timu Pinzani kwa kasi ya ajabu na Umaridadi wa hali ya Juu kuzidia Umri wake.
Bicycle kick zakutosha yani ukiona Bicycle kick ujue mtu kaisha we ulitaka tumrambe miguu nani Victor Lindelof???? we ni mkubwa sana Sasa Ntashangaa kujikuta huoni Pongezi zinatakiwa kwenda kwa Nani !! au ndio kujikuta huoni kinacho onekana
Mkuu unamaanisha bicycle kick ni tik tak au?
 
Hilo swali uliza kwenu huko, hapa ni irrelevant

Tunasaka nafasi ya 3
Wakuu kuna kutoboa hapa kweli? Au ndio mtaenda kupitia mgongo wa Man City ban

Leicester City: 58 pts

Arsenal
Bournemouth
Sheffield United
Tottenham
Man United

Chelsea: 57 pts

Crystal Palace
Sheffield United
Norwich City
Liverpool
Wolves

Man United: 55 pts

Aston Villa
Southampton
Crystal Palace
West Ham
Leicester City
 
Manchesta bhana, kubalini zamanzenu zimepita. Mnashinda dhidi za timu bottom half mnaona mmerudi...
Are you serious? or you're just trolling? Tumewafunga Chelsea na Manchester City nje ndani na wote hawa wapo juu yetu kimsimamo.

Bournemouth tuliyemfunga jana mechi ya kwanza alitufunga. Sina hakika kama unafuatilia mpira kweli, sisi tumepoteza zaidi points kwa hivi vitu vidogo vidogo zaidi kuliko timu kubwa.

Sisi kilichotugharyemfunga msimu ni majereha ya wachezaji wetu tegemeo. Tulianza msimu vizuri kabisa, majereha yalipoanza kuwapata Martial, Pogba na baadae Rashford. Timu ilianza kusua sua, so far kwangu mimi binafsi nimeona mabadiliko makubwa sana kwa mara ya kwanza toka Alex Ferguson aondoke.

Tulikuwa tuna-struggle kushinda hata mechi tano mfululizo, kwa sasa hatujafungwa mechi 16.

Nakuhakikishia kama hatutapata majereha msimu ujao, tunabeba ubingwa bila mashaka kwa wachezaji hawa hawa bila kuongeza hata mtu mpya. Greenwood, Martial, Rashford, Pogba na Bruno wana uwezo wa kukupa goli 15 kila mmoja kwa msimu as long as no injuries.
 
U're a real Man United fan. This are ur characteristics
Michezo 16 mfulilizo hatujapoteza, tuna wastan wa kufunga goli 2.7 per match.. kama ni hesabu za lukadiria hizo ni sawa n goli 3 kwa mechi

hakuna utopolo yeyote alieko Europa mwenye kutusumbua hata mmoja , huko hata hatuna wasiwasi, tunataka nafasi ya 3 hapa kwa malkia, leo hata iweje n letu
 
Back
Top Bottom