Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Ndugu zangu msaada tafadhali niko kichakani natamani kuicheki hii gem, Yeyote mwenye link yakuweza kuiona hii gem atupie na mimi nijumuike kuicheki timu yetu.
Hahaha Pogba ameuliza maswali kama madalali vile,by the way Pogba ni mtu charming sana.
Ni kwema humu........Mnajisikiaje na hali hivi sasa.
Mpaka JURGEN NORBET KLOP Aondoke Liverpool tutakuwa tumesha heshimiana sana.
HahahahahahahahahSahau mzee next season hamna kitu nyie.
heshima wanayo ila kiburi tu kinawasumbua hahaha wakatizame History ch hawana jipya humu tehteheh. LFC Bingwa YNWA!!!!! mbio zao ni na Sheffield U,Wolves wakitizama Chelsea wanawakimbia hahahahahah!!!Ni kwema humu........Mnajisikiaje na hali hivi sasa.
Mpaka JURGEN NORBET KLOP Aondoke Liverpool tutakuwa tumesha heshimiana sana.
KweliGGMU
Ushindi na Burudani ndo kitu tunachohitaji
Supersport 3.Jaman hii gem dstv wanaonyesha chanel gani