Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Assist mbili ndio lakini hayupo form mkuu,hata kwa kumuangalia tu yeye mwenyewe hana furaha..He will pick his form thoughAssist 2 halafu unasema kazingua ?
Assist mbili ndio lakini hayupo form mkuu,hata kwa kumuangalia tu yeye mwenyewe hana furaha..He will pick his form thoughAssist 2 halafu unasema kazingua ?
Yap Yap FA CupNorwich Kwenye FA siyo ?
Kama nashawishika ila Mechi ngumu Fred na Tominay watalazimika ku hezaHii ya leo inapaswa kuwa 1st eleven rasmi sasa
Katoka kwenye injury toka January nilitegemea hili.Assist mbili ndio lakini hayupo form mkuu,hata kwa kumuangalia tu yeye mwenyewe hana furaha..He will pick his form though
Assist mbili ndio lakini hayupo form mkuu,hata kwa kumuangalia tu yeye mwenyewe hana furaha..He will pick his form though
Hajacheza vibaya mkuu..ila watu wengi tunataka tumuone yule Rashford wa kabla ya Lockdown..Maybe tumekuwa na haraka,ila atarudi hizo levelMkuu japo mnasema Rashy hajang'ara lakini mimi nimependa mchezo wake wa jana
Kwanza ni muhimu Tukumbuke kuwa ni mtu ambaye karibu miezi 6 alikuwa hajacheza mechi
Pili, Rashy yule wa kabla ya Corona zile assists mbili alizotoa alikuwa anapiga golini kutafuta goli, jana hakuwa mchoyo
Hajacheza vibaya mkuu..ila watu wengi tunataka tumuone yule Rashford wa kabla ya Lockdown..Maybe tumekuwa na haraka,ila atarudi hizo level
Hii ya leo inapaswa kuwa 1st eleven rasmi sasa
Mimi niliona tofauti sana sijui timu ilikuwa imepoa sana.We jamaa umeona mbali sana. Inapaswa OLE alifanyie kazi hili. Hii timu iliyocheza jana ndo MAN UTD haswa. Combination ya MATIC, POGBA, B.FERNANDEZ,GREENWOOD na RASHFORD, best combination ever.
Ahsante mkuu Nashukuru niliicheki gem.Tumia hii
Bein Match : مشاهدة البث المباشر لمباراة فريق مانشستر يونايتد بمواجهة فريق شيفيلد يونايتد برسم الدوري الإنجليزي الممتاز



Mmeshashinda?Nyie mujiandae kucheza Europa tena ..hakuna namna.
CFC![]()
Huna tofauti na manjukaa.Swaalamaaaaa humu Manchester United??? tunawasalimia tu LiverpoolFc au Mabingwa msisahau kusema Mabingwa tusivunjiane heshima nyie mnaweza kwenda kutizama History ch hizi za Sports tuachieni kwa sasa tehtehetheteh!!!!