Tukishinda game ya leo, tutapunguza gap la points dhidi ya Leicester city kutoka 9 mpaka 6Ni Matchday..Hawa blades inabidi tuwauwe..Spurs kashinda jana,na Chelsea ana big match kesho
First eleven kama hii itakuwa poa kwangu leo..
Romero
AWB Bailly Maguire Williams
Fernandes Matic/Scot Pogba
Greenwood Ighalo Rashford
✓Kuna kitu ambacho Matic anacho lakini Fred na Scott hawana,kitu hicho ni composure
✓Kuna kitu Fred na Scott wanacho lakini Matic hana kwa sasa,kitu hicho ni miguu ya kucover ile mid
Tunahitaji deep Mid mwenye vitu vyote viwili ili Pogba na Fernandes wateleze tu
GGMU
Kweli mkuu.Tukishinda game ya leo, tutapunguza gap la points dhidi ya Leicester city kutoka 9 mpaka 6
Sijaizungumzia chelsea bcoz sisi tunaitaji nafasi ya 3 ambayo kaikalia Leicester
Ndoto zako ni nzuriTukishinda game ya leo, tutapunguza gap la points dhidi ya Leicester city kutoka 9 mpaka 6
Sijaizungumzia chelsea bcoz sisi tunaitaji nafasi ya 3 ambayo kaikalia Leicester
Na tuna mechi na Leicester pia..tukijipanga fresh mambo yatakaa sawa tuTukishinda game ya leo, tutapunguza gap la points dhidi ya Leicester city kutoka 9 mpaka 6
Sijaizungumzia chelsea bcoz sisi tunaitaji nafasi ya 3 ambayo kaikalia Leicester
Bein Match : مشاهدة البث المباشر لمباراة فريق مانشستر يونايتد بمواجهة فريق شيفيلد يونايتد برسم الدوري الإنجليزي الممتازNdugu zangu msaada tafadhali niko kichakani natamani kuicheki hii gem, Yeyote mwenye link yakuweza kuiona hii gem atupie na mimi nijumuike kuicheki timu yetu.
Huwa analeta msimamo akimwona field martial anawaka.