DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,542
- 2,741
Matokeo vp
Norwich 1- 2 Utd
Matokeo vp
Piga mbuzi hao...
Captain kama Captain
Hawa tungeenda nao matuta wangetutoa
Nilikua namuwaza kipa wao tu tusingechomoka yaniCaptain kama Captain
Hawa tungeenda nao matuta wangetutoa
Kipa wao anajua sana kuzuia penalty, kuna uwezekano mkubwa sana wangetutoa
Tim Krul sio mtu mzuri, linapokuja suala la penati
Ninamuheshimu sana linapokuja suala la miguu 12 tangia yupo Newcastle, hata msimu huu kama sikosei aliokoa penalty 1 au 2 against UTD
Nilikuwa sitaki kabisa tufike kwenye penalty
Hahaha Norwich anawatoa kamasi hiv tena apo walikuwa pungufu.We mbuzi ulikuwa unasemaje
5 mpya zinakusubiri........Nyie nyumbu mtajuta kuingia nusu fainali mnacho kitafuta mtakipata. Siku hiyo mtanieleza vizuri zile ninne mlinifunga vp nyau nyie nitawanyonya kamasi nyie subirini tu kuku nyie.
Badala ya kulia ww una shukuru, hiv unajua unakutana na nani nusu fainali.?