Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
professor wa philosophy....Leo kaanza Lingard na manywele yake kama Professor wa Philosophy anarukaruka tu.
Kaua move tatu na bado yupo tu aisee.professor wa philosophy....
Hatari sana
Dah hii timu ya leo kupata matokeo sijui
Tumuuze tumchukue huyu dogo angalau.Kaua move tatu na bado yupo tu aisee.
Sana tu team inacheza kutokana na team wanayokutana nayoTimu yetu bado sana.