Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,617
- 4,142
Saa hizi angekuwa anataka sub ya Ighalo[emoji119]Huwa analeta msimamo akimwona field martial anawaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa hizi angekuwa anataka sub ya Ighalo[emoji119]Huwa analeta msimamo akimwona field martial anawaka.
Tumia hiiMkuu mbona haifunguki
Martial vipi mkuu?
Rashford ana shida gani..utilivu hana kabisa..second game hii,,awe serious bhana
miezi 5 bila kucheza mechi, itakuwa inachangiaRashford ana shida gani..utilivu hana kabisa..second game hii,,awe serious bhana
Leo wangetulia ilikuwa 5 au 6 vila. First half si chini ya goli tatu. Anyway point 3 muhimu tumepata.Easy 3 points
Good job Tonny
Norwich jiandae..Tunashuka na nyie jumla jumla J'mosi
Sure..inabidi tuwe clinical zaidiLeo wangetulia ilikuwa 5 au 6 vila. First half si chini ya goli tatu. Anyway point 3 muhimu tumepata.
Fungua jukwaa la Aston Villa mkuuHawa Aston Vila Hamna Kitu Yani Kama Ndanda
Assist 2 halafu unasema kazingua ?Rashid fuadi leo amezingua kweli.
All in all tupo vizuri[emoji123]
Norwich Kwenye FA siyo ?Easy 3 points
Good job Tonny
Norwich jiandae..Tunashuka na nyie jumla jumla J'mosi