Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
£ 400mOut
1.Rojo
2.Jones
3.Lingard
4.Andreas
5.Pogba
In
1.Sancho
2.Savic/Ndidi
3.Kane/Werner/Jiminez
4.Grealish
But itakuwa ngumu kufanya sajili zote hizo in one transfer window..labda Grealish na Sancho


Mkuu usiisave kwenye simu, print kabisa pengine vitukuu vitajikumbusha ukweli wake
Hata £100m tu kutumia itakuwa mbinde sana,hii corona sio..sitoshangaa tukimchukuwa Grealish tu na kufunga hesabu
Next season kutakuwa na deal nyingi za kubadilisha wachezaji+wachezaji kusajiliwa kwa mkopoHata £100m tu kutumia itakuwa mbinde sana,hii corona sio..sitoshangaa tukimchukuwa Grealish tu na kufunga hesabu
Timu nyingi zitahitaji kuuza wachezaji pia ili kupunguza financial distress.Hata £100m tu kutumia itakuwa mbinde sana,hii corona sio..sitoshangaa tukimchukuwa Grealish tu na kufunga hesabu
Hata kama tukifanya addition ya mchezaji mmoja ni sawa tu kikubwa tuzingatie mahitaji yetu.Hata £100m tu kutumia itakuwa mbinde sana,hii corona sio..sitoshangaa tukimchukuwa Grealish tu na kufunga hesabu
Waache zarau kwa chama kubwa dunianiJamii Forums wametukana uzi wetu kwa hii picha inayoonekana kwenye display.View attachment 1444687
Sent using Jamii Forums mobile app
Beki yupi ?Eti tunamtaka beki wa Swansea anapigiwa chapuo na giggs kutoka wales
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ni hatari kuna dalili msimu ujao ukaanza September.Huyu Borris Johnson atarudisha hii ligi kweli anytime soon au tuendelee kuzoea haya maisha?