Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Haifutwi kwa sababu lengo la ile kadi ni kumuadabisha kwa kitendo cha kuvua jezi na si kushangilia
Alistaafu mwisho wa msimu, alafu mwezi january dirisha dogo akasajiriwa tena.Kwa maelezo aloyaweka mdau hapo juu yawezekana kabisa ila duuu basi ilikuwa siri sirini sana asee!
Sent using Jamii Forums mobile app