Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Manchester United have announced that the former England midfielder Paul Scholes has come out of retirement and will play until the end of the season. He will sit on the bench for this afternoon's FA Cup third-round match against Manchester City.Hivi mwaka 2012 Paul Scholes aliporudishwa kwenye mechi dhidi ya Man City baada ya kustaafu mwaka 2011 ilikuwaje, inamaana Man U pamoja na Scholes kustaafu bado jina lake lilikuwa kwenye list ya wachezaji halali Wa msimu uliofuata au!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba alisajiliwa dirisha dogo la January ?Hivi mwaka 2012 Paul Scholes aliporudishwa kwenye mechi dhidi ya Man City baada ya kustaafu mwaka 2011 ilikuwaje, inamaana Man U pamoja na Scholes kustaafu bado jina lake lilikuwa kwenye list ya wachezaji halali Wa msimu uliofuata au!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo aloyaweka mdau hapo juu yawezekana kabisa ila duuu basi ilikuwa siri sirini sana asee!Sio kwamba alisajiliwa dirisha dogo la January ?
Teh teh tehHapa board isipokuwa intelligent tutaishia kutukana humu na hata huko ulaya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kaacha mbwembwe na midenguo huyu? Au mazoezini haonyeshagi hizo!? Ha ha ha ha
Tusubiri mechi zianze ndiyo tutampima vizuriVipi kaacha mbwembwe na midenguo huyu? Au mazoezini haonyeshagi hizo!? Ha ha ha ha
Sent using Jamii Forums mobile app