Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na bado akatufunga tulipocheza na juventus na akashangilia vizuri tu utadhani alizwa kwa lazima na klabu wakati yeye ndio alilazimisha kuondoka. Hata El Clasico ya mwisho hapa alienda kuitazama ila sijawahi ona amesafiri toka Madrid au Turin kwenda OT kutazama derby yoyote, hii ni wazi anaipenda na kuithamini R. Madrid kuliko Man U. Yawezekana CR7 anaipenda R. Madrid siyo Manchester United, ila anampenda Ferguson kuliko kocha yeyote aliyewahi mfundisha
Hilo lipo wazi na ndiyo tm yake aliyoishabikia tng utotoni ila cha ajabu apewi heshima kubwa na madridista kuliko mashabiki wa utd japo alivunja rekodi nyingi kuliko wachezaji wote waliowahi kupita pale
 
IMG_0049.JPG

Ukiambiwa hii timu haijawah kufika hata final ya mashindano yoyote ngaz ya taifa utachoka
 
View attachment 1422641

Co tu hakijacheza fainali yyte bali pia ni kikosi kilichokuwa kinacheza soka bovu na la kubahatisha mno cz kila mtu alikuwa anajiona star anaetakiwa kuibeba timu ukiacha u star wa nje ya uwanja, unajua ktk mpira unaweza kuwa na kikosi kizuri mno lkn kisipate mafanikio unajua ni kwnn? Ni kwasababu lazima kuwepo kiunganishi cha wachezaji mfano CR7 pale utd, Kaka Ac Milan, Ronaldinho Barca, Henry Arsenal, Drogba Chelsea, KDB City, Messi Barca, CR7 Madrid, Iniesta Spain, Zidane France, Mbappe France, CR7 ureno, Hazard Chelsea, Sarah Liverpool (japo wengi wanadhani ni Mane lkn amini nakwambia Sarah akiondoka tm itapoteza kitu kikubwa sana cz kiunganishi co tu kiwango bali pia bahati), and the likes of that, pia man u kwa ss naona kama imeshapata mchezaj wa kariba hiyo.
 
Ambae ni yupi mkuu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiambiwa hii timu haijawah kufika hata final ya mashindano yoyote ngaz ya taifa utachoka
View attachment 1422641

Ukiambiwa hii timu haijawah kufika hata final ya mashindano yoyote ngaz ya taifa utachoka
  1. nafikiri England walianza kubarikiwa kuwa na kundi bora la wachezaji kutoka mwaka 1996, 98 (kizazi cha shearer, gaza, robbie fowler, mcmanaman, david platt, jamie redknapp,, les ferdinand, sherringham, tony adams, martin keown, campbell, paul ince) hadi kizazi kilichowafunga germany magoli matano. unaposhangaa kikosi hicho kushindwa kuchukua ubingwa pia unapaswa ushangazwe zaidi na kizazi cha alan shearer nacho kushindwa kupata mafanikio makubwa.
  2. factors zipo nyingi sana zilizopelekea timu yao kushindwa kufanya vizuri kama vile maamuzi ya kijinga ya wachezaji (kadi nyekundu ya david beckham, kadi nyekundu ya wayne rooney kwenye michuano ya Euro)
  3. maamuzi ya kijinga yaliofanywa na walimu kwa nyakati tofauti, kwa mfano sven gorran eriksson alishindwa kutengeneza uwiano mzuri wa kikosi kwa sababu ya kulazimisha paul scholes, frank lampard na steven gerrard wacheze pamoja.
  4. cha kushangaza walikuwepo wachezaji wengine kama vile michael carrick na owen hargreaves kwa nyakati tofauti ambao wote kwa pamoja wana uwezo mkubwa wa kucheza eneo la midfield mkabaji na kufanya hivyo wangelifanikiwa kutengeneza uwiano mzuri sana wa timu. (England walihitaji mfumo wa 4-2-3-1 kuliko 4-3-3 kwa sababu hawakuwa na winga mwenye sifa ya Iniesta au ryan giggs). Media nazo zilikuwa na nguvu ya kuingilia uamuzi wa mwalimu
  5. bahati nayo pia haikuwa upande wao kiupande fulani (England wamekuwa na rekodi mbovu kutolewa kwenye hatua ya penalty dhidi ya wapinzani wao.
  6. pia england timu yao kwa kiasi kikubwa sana ilikosa balance kati ya kikosi cha kwanza na wachezaji wa hakiba, ukiachana na hao wachezaji wa kikosi cha kwanza unagundua waingereza walikuwa na kundi la wachezaji wa kawaida sana waliopelekea kuwa na ufinyu wa kikosi bora (lack of depth) kama vile sinclair, danny millls, emile heskey, wright phillips, nicky butt, phil neville, darius vassell n.k
  7. sababu nyengine ni kuzidiwa ubora na wapinzani wao linapokuja swala la vipaji na uwezo binafsi wa wachezaji (rejea kikosi cha brazili kilichojengwa na ronaldo, rivaldo, gaucho, lucio, carlos, cafu, dida, kleberson). Pia rejea vikosi cha portugal iliojengwa na luis figo, manuel rui costa, deco souza, ronaldo, nuno gomez, postiga, tiago, n.k Ufaransa ya zidane, henry, wiltord, vieira, desaily, thuram, lizarazu, sagnol, makelele, pires n.k
  8. waingereza ni dhaifu sana nje ya ulimwengu wa mpira wa kutumia nguvu, lack of creativity and decision making kwa wachezaji wao wengi.
  9. Kuna interview fulani sven gorran eriksen anasema ya kwamba wachezaji walikuwa hawavutiwi na mfumo mwengine zaidi ya 4-4-2 usiokuwa diamond, na ukiangalia kuna ukweli fulani kwa sababu timu nyingi za uingereza zilikuwa zinapendelea mfumo huo wa 4-4-2 kabla ya ujio wa jose mourinho alipokuja kuingiza mfumo wa 4-3-3 (makelele roles)
 
  8. waingereza ni dhaifu sana nje ya ulimwengu wa mpira wa kutumia nguvu, lack of creativity and decision making kwa wachezaji wao wengi. Kuna interview fulani sven gorran eriksen anasema ya kwamba wachezaji walikuwa hawavutiwi na mfumo mwengine zaidi ya 4-4-2 usiokuwa diamond, na ukiangalia kuna ukweli fulani kwa sababu timu nyingi za uingereza zilikuwa zinapendelea mfumo huo wa 4-4-2 kabla ya ujio wa jose mourinho alipokuja kuingiza mfumo wa 4-3-3 (makelele roles)
Good analysis
 
Thanks
Covid 19 imesababisha tujadili ishu zisizohusiana na manchester united
teh teh teh
Itaisha tu soon tutarudi kulichambua chama, ila km man u itamsajili Kane na Grealish cjui itakuwaje, ningependa tumpate na Sancho ila czani km itawezekana mana man u kwa ubahili pia haijambo.

1. De gea
2. Bissaka
3. Shaw (hapa tungepata no.3 ya kuaminika ingekuwa poa sn cz shaw pancha nyng, Williams mzr ila bdo mdogo)
4. Bailly ( namwamin kuliko linderloof)
5. Maguire
6. Fred
7. Grealish
8. Uncle Bruno
9. Kane
10. Labile
11. Rashidi Makame Rashford

Benchi; Martial, Matic, Mctommy, Greenwood (mcm ujao nadhani utakuwa wake), James, Williams, Linderloof, Ighalo.

Mfumo mzr ni 4-3-3 cz wachezaji hapo asilimia kubwa wanapenda kukaa na mpira na kushambulia sn.
 
  1. nafikiri England walianza kubarikiwa kuwa na kundi bora la wachezaji kutoka mwaka 1996, 98 (kizazi cha shearer, gaza, robbie fowler, mcmanaman, david platt, jamie redknapp,, les ferdinand, sherringham, tony adams, martin keown, campbell, paul ince) hadi kizazi kilichowafunga germany magoli matano. unaposhangaa kikosi hicho kushindwa kuchukua ubingwa pia unapaswa ushangazwe zaidi na kizazi cha alan shearer nacho kushindwa kupata mafanikio makubwa.
  2. factors zipo nyingi sana zilizopelekea timu yao kushindwa kufanya vizuri kama vile maamuzi ya kijinga ya wachezaji (kadi nyekundu ya david beckham, kadi nyekundu ya wayne rooney kwenye michuano ya Euro)
  3. maamuzi ya kijinga yaliofanywa na walimu kwa nyakati tofauti, kwa mfano sven gorran eriksson alishindwa kutengeneza uwiano mzuri wa kikosi kwa sababu ya kulazimisha paul scholes, frank lampard na steven gerrard wacheze pamoja.
  4. cha kushangaza walikuwepo wachezaji wengine kama vile michael carrick na owen hargreaves kwa nyakati tofauti ambao wote kwa pamoja wana uwezo mkubwa wa kucheza eneo la midfield mkabaji na kufanya hivyo wangelifanikiwa kutengeneza uwiano mzuri sana wa timu. (England walihitaji mfumo wa 4-2-3-1 kuliko 4-3-3 kwa sababu hawakuwa na winga mwenye sifa ya Iniesta au ryan giggs). Media nazo zilikuwa na nguvu ya kuingilia uamuzi wa mwalimu
  5. bahati nayo pia haikuwa upande wao kiupande fulani (England wamekuwa na rekodi mbovu kutolewa kwenye hatua ya penalty dhidi ya wapinzani wao.
  6. pia england timu yao kwa kiasi kikubwa sana ilikosa balance kati ya kikosi cha kwanza na wachezaji wa hakiba, ukiachana na hao wachezaji wa kikosi cha kwanza unagundua waingereza walikuwa na kundi la wachezaji wa kawaida sana waliopelekea kuwa na ufinyu wa kikosi bora (lack of depth) kama vile sinclair, danny millls, emile heskey, wright phillips, nicky butt, phil neville, darius vassell n.k
  7. sababu nyengine ni kuzidiwa ubora na wapinzani wao linapokuja swala la vipaji na uwezo binafsi wa wachezaji (rejea kikosi cha brazili kilichojengwa na ronaldo, rivaldo, gaucho, lucio, carlos, cafu, dida, kleberson). Pia rejea vikosi cha portugal iliojengwa na luis figo, manuel rui costa, deco souza, ronaldo, nuno gomez, postiga, tiago, n.k Ufaransa ya zidane, henry, wiltord, vieira, desaily, thuram, lizarazu, sagnol, makelele, pires n.k
  8. waingereza ni dhaifu sana nje ya ulimwengu wa mpira wa kutumia nguvu, lack of creativity and decision making kwa wachezaji wao wengi.
  9. Kuna interview fulani sven gorran eriksen anasema ya kwamba wachezaji walikuwa hawavutiwi na mfumo mwengine zaidi ya 4-4-2 usiokuwa diamond, na ukiangalia kuna ukweli fulani kwa sababu timu nyingi za uingereza zilikuwa zinapendelea mfumo huo wa 4-4-2 kabla ya ujio wa jose mourinho alipokuja kuingiza mfumo wa 4-3-3 (makelele roles)
Safi ndugu!
 
Back
Top Bottom