Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,081
- 2,604
Asante Mkuu naheshimu mawazo yako.Douglas Costa ni winger wa kushoto na hana madhara sana kama Jafon Sancho.
Heri utupe pesa zako kumnunua Julian Draxler au Grealish kuliko Douglas Costa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila binafsi naamini Douglas Costa ni mchezaji bora na mwenye madhara kuliko Jack na Maddison ambao mimi nawaona ni Overrated (kama unavyowajua waingereza kwa kupaisha vya kwao) ambao tunahusishwa nao.
Douglas Costa ni Underrated ambae anapotezwa na kitu kinachoitwa BAHATI.
Ni mtazamo tu GGMU