Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Sijui umetumia kigezo gani kuchagua mfumo wa 4 3 3Itaisha tu soon tutarudi kulichambua chama, ila km man u itamsajili Kane na Grealish cjui itakuwaje, ningependa tumpate na Sancho ila czani km itawezekana mana man u kwa ubahili pia haijambo.
1. De gea
2. Bissaka
3. Shaw (hapa tungepata no.3 ya kuaminika ingekuwa poa sn cz shaw pancha nyng, Williams mzr ila bdo mdogo)
4. Bailly ( namwamin kuliko linderloof)
5. Maguire
6. Fred
7. Grealish
8. Uncle Bruno
9. Kane
10. Labile
11. Rashidi Makame Rashford
Benchi; Martial, Matic, Mctommy, Greenwood (mcm ujao nadhani utakuwa wake), James, Williams, Linderloof, Ighalo.
Mfumo mzr ni 4-3-3 cz wachezaji hapo asilimia kubwa wanapenda kukaa na mpira na kushambulia sn.
Sent using Jamii Forums mobile app

