Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naamini hivyo kwa sababu yeye alikulia pale na alikuwa anaipenda sana timu ila hitilafu na mwalimu ikafanya mwalimu asihitaji tena kuendelea nae. Ila hata baada ya kuondoka na kustaafu mpira bado Becks anaipenda sana timu. Becks ni kama Roy Kean tu,ni watu walokuwa wakiipenda timu na wanafia timu haswa ila mwisho wa siku Ferg nae alikuwa na ubinadamu wake
So wakati CR7 anacheza United alikuwa haipiganii timu??

Tafuta interview za Evra,Ferdinand,Giggs,Wazza,Scholes GNeville,SAF,Nani wakimzungumzia Ronaldo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi namuona ni mtu aliyekuwa hana loyalty kwa ile timu. Alipotufunga akiwa Madrid hakushangilia nadhani alifanya vile kwa kuwa alijua hafahamu kesho yake, ila alipotufunga akiwa Juventus naamini alishangilia sana kwa sababu ashajua uwezekano wa kesho yake kuwa Man U ni kama Mdogo au hakuna.

Kwa sababu ni maoni yako naomba niyaheshimu. Ila kwa zama hizi za soka-biashara, mimi kwa maoni yangu sidhani kama:
1. Kuipenda timu.
2. Kutokuihama.
3. Kutokuifunga timu hiyo.
4. Kutokushangilia ukiifunga
Havina uhusiano wowote na ulejendari wa bwana Cristiano Ronaldo.
Naamini ametimiza kazi yake ya kuitumikia timu kwa uwezo wake na kuipa mafanikio kwa kipindi alichokuwepo.
This is quite enough, hatuwezi kumnyang'anya heshima yake yote kwa sababu ya hayo madai hapo juu.
 
So wakati CR7 anacheza United alikuwa haipiganii timu??

Tafuta interview za Evra,Ferdinand,Giggs,Wazza,Scholes GNeville,SAF,Nani wakimzungumzia Ronaldo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewazungumzia hao kama true legends kwamba pamoja na kupambania timu bado walizinguana na mwalimu na wakaondolewa na bado katika mishe zao zingine unaona bado wanaonyesha wana mapenzi na timu kitu ambacho pengine kwa mchezaji mwingine aliyepata kuondolewa na mwalimu huenda asingekaa nankugeuka tena kuwa na moyo wa kupenda hiyo timu,tofauti na cr7 ambae aliomba kuchomoka japo bado alihitajika sana. By the way tuuache huu mjadala huru mana pengine haujengi ila kila mtu ana nafasi yake ktk kuliona hili.
 
Siku ya jana ungekuta vi-Brighton vimetukazia saivi ingekua uzi umejaa kila aina ya maneno kutoka team Blauzi na Arsenane.

Life has changed really fast aisee.
huu ugonjwa ni kama tunauchukulia poa hivi huku lakini kiukweli umevuruga mambo mengi mno!!
 
Huu ugonjwa ni hatari sana ngoja wale jamaa wapone hizo tight measures watakazoweka hata kwenda kwao itabidi uvae mask kwa miezi 6 kwanza.

Uwe quarantined kwa miezi 6.
huu ugonjwa ni kama tunauchukulia poa hivi huku lakini kiukweli umevuruga mambo mengi mno!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kama hao wengine walikuwa na shauku kubwa ya kucheza muda mrefu Man U na ni watumishi watumwa kwa badge ya Man U ilihali CR7 ni kama alikuwa ana pitisha muda tu kabla ya kwenda akupendako. Naamini hata Man U asingechukua UEFA na vikombe vya ndani bado yeye angefika ktk huo muda alioomba kuondoka angefanya hivyo na akatembea tu.
Kwahiyo ulitaka CR7 asiondoke United kisa akufurahishe wewe?

Ni rahisi mchezaji kugoma kuondoka Madrid kuliko United.

Ni suala la malengo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi namuona ni mtu aliyekuwa hana loyalty kwa ile timu. Alipotufunga akiwa Madrid hakushangilia nadhani alifanya vile kwa kuwa alijua hafahamu kesho yake, ila alipotufunga akiwa Juventus naamini alishangilia sana kwa sababu ashajua uwezekano wa kesho yake kuwa Man U ni kama Mdogo au hakuna.
Hoja dhaifu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo ulitaka CR7 asiondoke United kisa akufurahishe wewe?

Ni rahisi mchezaji kugoma kuondoka Madrid kuliko United.

Ni suala la malengo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisema huu ni mdala huru na mjadala kiubishani nishasema uishe kila mtu abaki na mtazamo wake mana panicking zenu zitabomoa badala ya kujenga
 
True legends ni wale ambao hata baada ya maisha yao ya soka bado wapo connected na sisi..Huyu Ronaldo IMO sio our true legend..Paul Scholes,Roy Keane,Ferdinand,Evra n.k hawa ndo wamba ambao ukisema ni malegend atleast una make sense..

Huu ni mtazamo wangu
 
Nadhani Ryan Gigs hakupaswa kuwa kwenye kundi la n.k, bali kwenye kundi la waliotajwa.
 
Kwani mchezaji kuwa legend ni lazima atimize vigezo vipi ?
True legends ni wale ambao hata baada ya maisha yao ya soka bado wapo connected na sisi..Huyu Ronaldo IMO sio our true legend..Paul Scholes,Roy Keane,Ferdinand,Evra n.k hawa ndo wamba ambao ukisema ni malegend atleast una make sense..

Huu ni mtazamo wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mchezaji kuwa legend ni lazima atimize vigezo vipi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili swala inabidi liwe subjective..na ndo maana kila mtu ana mtazamo wake

Kigezo changu ni kifupi tu..Kucheza kwenye kiwango cha juu na kujituma sana no matter what kwa muda mrefu kwenye klabu moja na kuiletea mafanikio..na naamini mchezaji hawezi kuwa legend wa klabu mbili tofauti..that's me
 
Endapo mchezaji akicheza miaka 16 kwa kiwango cha juu, miaka nane kwa klabu moja na mingine nane kwa klabu nyingine. Mchezaji huyo azipe mafanikio klabu zote mbili, anakua sio lijendi simply kwa sababu amechezea vilabu viwili tofauti ?
Kwaiyo kwa maana hiyo ulijendi ni kutokuhama... ?
Au niulize kwa mujibu wako, muda mrefu ni kuanzia miaka mingapi ?
 
Endapo mchezaji akicheza miaka 16 kwa kiwango cha juu, miaka nane kwa klabu moja na mingine nane kwa klabu nyingine. Mchezaji huyo azipe mafanikio klabu zote mbili, anakua sio lijendi simply kwa sababu amechezea vilabu viwili tofauti ?
Kwaiyo kwa maana hiyo ulijendi ni kutokuhama... ?
Hata Evra alihama akaenda Juve,Hata Rooney alihama akarudi Evertoon..

Hili ni swala subjective..kila mtu abaki na anachokiamini

Mimi naamini Legend akitajwa,jina la klabu moja linajitokeza automatically

i.e Ukisema Lampard-Watu wataiona Chelsea

Ukisema Gerald-Watu wataiona Liverpool

Ukisema Drogba-Watu wataiona Chelsea

Ukisema Company-Watu wataiona Man.City

Ukisema Giggs-Watu wataiona United

Hivyo ndo inavyopaswa iwe in my opinion
 
Sure ukitaja Ronaldo watu wanaiona Madrid jamaa sio legend wa man u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Evra alihama akaenda Juve,Hata Rooney alihama akarudi Evertoon..

Hili ni swala subjective..kila mtu abaki na anachokiamini

Mimi naamini Legend akitajwa,jina la klabu moja linajitokeza automatically

i.e Ukisema Lampard-Watu wataiona Chelsea

Ukisema Gerald-Watu wataiona Liverpool

Ukisema Drogba-Watu wataiona Chelsea

Ukisema Company-Watu wataiona Man.City

Ukisema Giggs-Watu wataiona United

Hivyo ndo inavyopaswa iwe in my opinion
Ukisema Ronaldo Christiano inaonekana Real Madrid zaidi. Na hata El Clasico ya mwisho hapa nadhani alikwenda kuitazama
 
Back
Top Bottom