Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

binafsi siamini sana ktk mbape angalia takwimu za neymar na ule utoto wake kisha uje unieleweshe vizur mkuu
Utoto wa naymar ni timu anayochezea psg zile mambo hawez kuleta barcelona,madrid,manchster united au liverpool maana hizo timu kuna watu wamepita zaidi yake na wamechukua uchezaj bora kapita barcelona kawah leta utoto?
Neymar kwa sasa ni mzuri ktk uuza jersey labda.
 
Neymar mimi siafiki kabisa mpaka sasa PSG iko kwenye mabega ya Mbappe na siyo Neymar tena.

Halafu Neymar ni left wing nafasi ambayo tayari na Marcus Rashford anayeweza kutupa kila tunachokitaka upande wa kushoto.

Kama ni kitu tunatakiwa kuwa makini katika signing za attacking force yetu.

Tusije kutumia pesa bila kuzingatia mahitaji ya timu yetu sidhani kama Man united inamhitaji Neymar katika uhitaji wa timu na kibiashara.

Timu yetu inahitaji watu ndiyo lakini siyo wa calibre ya Neymar.



Sent using Jamii Forums mobile app
Attacking force kwa nini msimchukue kane? Perfect!
 
Nampenda McTominay lakini kuna muda huwa analala au kuzubaa..Kiungo cha Matic+Fred kilikuwa kimeshakubali na sio mbaya kama McSauce angekuwa anaanzia benchi..Lazima tuwe na squad depth ya kueleweka
mkuu daniel james mchezaj mzur sana tena sana dogo anacheza kwa presha katupa kitu muhimu sana hatuna wale wachezaj wakomavu wa kumpunzisha fikiria anatokw james anaingia lingard au pereira so tuangalie wakomavu hizi mech ambazo pereira na mwenzie lingard walikuwa nje timu imecheza vizur sana

Ukija eneo la kiungo matic mzoef kacheza vizur sana fred had goli za kufungwa zimekuwa chache mech 14 za matic hatujaruhusu goli scott mchezaj mzur sana ila tunaruhusu sana goli napenda sana wachezaj wazoef ukiangalia kiungo cha liverpool wote wazoefu wakina Georginio Wijnaldum na genge lake wabish sana
Kiungo cha matic na fred tayar kimeanza kukaa sasa hata kocha kaona hilo scott anaanzia bench mech ya everton dogo alianza angalia tulivyohangaika mech ya city alinzia bench kiungo kilikuwa poa sana ni hayo tu
 
Hivi New Castle wameibukia wapi mana naona habari zao za kutisha. Ni kama msimu ujao tutarajie new castle Wa kusumbuana kwenye top 4 hivi! Wamepata ma don Wa kutisha nini? Mana nilipita kwenye social network flani nikakuta kuna washabiki wao wanasema ikiwezekana msimu ujao wamchukue harry Kane ili akatafute kuvunja rekodi ya Alan Shearer, nikapigwa na butwaa!
 
Hivi New Castle wameibukia wapi mana naona habari zao za kutisha. Ni kama msimu ujao tutarajie new castle Wa kusumbuana kwenye top 4 hivi! Wamepata ma don Wa kutisha nini? Mana nilipita kwenye social network flani nikakuta kuna washabiki wao wanasema ikiwezekana msimu ujao wamchukue harry Kane ili akatafute kuvunja rekodi ya Alan Shearer, nikapigwa na butwaa!
Kuna waarabu wale waliohusishwa kuinunua utd wameinunua Newcastle paundi mill 600 kutoka kwa mmiliki ashley

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui tu nilivyokutaftia chakukujibu lakini nimeona kitakuelemea Napenda kukukumbusha kuwa Ukitaka kuja humU MANCHESTER UNITED FANS THREAD uwe kama Mtu Mwenye akili Timamu kutuletea mawazo kama Jitu lilikufa Likafufuka ndo linatoa wazo Uache basi .
Nilikuwa nakuzuga tu team yenu siipendi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MANCHESTER UNITED FC
ONCE UPON A TIME
IMG_20200417_200247_996.jpeg
IMG_20200417_200817_253.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom