Mkuu lete na source tuanze kutamba kitaaTetesi zinadai tushamalizana na sancho bado tu kumalizana na dortmund
Tete nae ni biashara nyingine tutua watuHuko duniani kuna tetesi kuwa Man united inamhitaji winger wa Shaktar Donetsk anaitwa Kenny Tete.
Kuna ukweli wowote wa taarifa hizi?
Je kiwango cha huyu dogo kikoje ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sancho agrees to Man Utd moveMkuu lete na source tuanze kutamba kitaa
Jersey za Man united siku hizi kila msimu zinakuwa mbaya mbaya tu sijui kwanini ?
Yah inabid walione hilo mana hazivutii kivileJersey za Man united siku hizi kila msimu zinakuwa mbaya mbaya tu sijui kwanini ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndio mby kabisaa, bora warudishe zile tulizopiga fainali ya uefa na Chelsea 2008 au ata zile za van persie.
Zitazoeleka tuuu tuwe wavumilivuHizi ndio mby kabisaa, bora warudishe zile tulizopiga fainali ya uefa na Chelsea 2008 au ata zile za van persie.
Hzo za juu kdg nzr ila hz

hapana, nategemea zitabadilishwa tu
Za msimu huu atleast nzuri..home kit ya msimu uliopita ilikuwa trash..Jersey za Man united siku hizi kila msimu zinakuwa mbaya mbaya tu sijui kwanini ?
Sent using Jamii Forums mobile app
White kali sn zile, zilikuwa znawapendeza sn hasa madadaZa msimu huu atleast nzuri..home kit ya msimu uliopita ilikuwa trash..
Kuna Nike away jersey ya 2010/2011 tuliuvaa pia kwenye fainali ya UEFA vs Barca..aisee ule uzi ulikuwa umesimama..
Come'on Adidas