Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu imejitahidi japokuwa kuna moments tunajisahau mipira inapotea. Ila naona kweli timu yetu saivi na kila siku inazidi kua imara na confidence imekua nzuri saivi tukifika kwenye boksi ni goli linawindwa kwa gharama yeyote ile mfano goli la shaw limeonesha jinsi gani wachezaji walivyo na njaa na ujasiri wa kupiga mashuti golini tofauti na mechi za nyuma. Naona with this team tunafika Europa Fainali na top Four sio ishu tena.

#GGMU
 
Mechi ipo vizuri ila Jesse Lingard hayupo makini anakosa nafasi za wazi hakimbii kwa kujituma sijui kanamatatizo gani Linderloff kapotea leo simwoni ngoja tuone kipindi kichosalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#MUFC
IMG_20200305_234327_747.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom