Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kipaji cha fred na rashford vipi? havijapanda kipindi cha sosha.
Ha ha ha ha hii timu haina consistency so naogopa kutoa jibu. Na miongoni mwa dalili za kocha ambae ni average ni timu kutokuwa na uhakika wa ushindi na performance inayopanda na kushuka. Ila kifupi naweza sema Fred kuna improvement Kubwa kaonyesha hadi sasa. Rashford siwezi msifu mana anapoteza nafasi nyingi ndipo anafunga
 
Upo serious kabisa hayo maneno?
-Kocha ambaye yupo responsible kwa trio ya Rooney/tevez/Ronaldo hajui kudevelop vipaji?
-kocha ambaye wakati yupo u23 ndio kikosi bora kabisa cha watoto miaka ya karibuni kikatoka kuanzia pogba, lingard, drinkwater, king, keane etc
-kocha aliembadili fred toka flop mpaka sasa ni fan favourite
-martial na rashford wote wapo kwenye form of their lives
-kocha alimtoa Haaland jalalani na watu kibao kumtabiria kakosea mpaka leo tunamuona super star
-kocha ambaye hata kabla Greenwood hatujamuona akifanya yake akasema Ni natural scorer ambaye hajawahi kumuona (anasema maneno hayo Rashford na Martial wapo kwenye form mwanzo wa ligi), na leo tunaona vision yake ilivyo accurate.
-mc tominay, wilson, james, lindelof wote wapo kwenye peak ya viwango vyao.

Wachezaji wachache sana utasema viwango vyao vimeshuka chini ya ole.
Wachezaji wapo kwenye form ila timu haina uhakika wa kushinda au siyo!? Ngoja tumcheki Bruno fundi
 
Daima Nina jitahidi sana kukwepana na Maneno Ya shombo ya hawa DaDa Zetu Wa CheLsix.
NB:
"Mke bora hutulia kwenye ndoa yake ukiona mpenda vya watu tambua dhahili huyo ni Mdangaji''

Ko huyu Jamaa hana tofauti na Mke Mdangaji kashindwa ku handle UZI WAKE wa CHELSIX kaja kwa Wanaume tena NASHETANI WEKUNDU kweli kizuri kula na wenzako.
Unawananga washabiki wa United walevi wakati wewe huwezi ingia JF bila kula bange kwanza upate ganzi maana chelsick ni pasua kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bishoooooo uyu dogo
download%20(5).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ngoma ngumu sana

Hivi huyu james hawezi kuvuta mpira kulia then apige na mguu wa kulia cross au kupiga far post kama alivyofanya game za mwanzo??..kila muda anavuta mpira ila apigie mguu wa kushoto,na anapiga hovyo tu..

Tunatakiwa tu-move mpira faster faster na tudefend vizuri
 
Back
Top Bottom