Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Bruno hatakuwepo kwenye match day squad ya Sporting CP jumatatu, kwa asilimia kubwa tutamsajili
Lakini, chini ya Ole hamna cha maana tutakacho improve
Hivi kumfunga Burnley unahitaji uwe na BF? Hivi kucheza mpira unaoeleweka unahitaji usajili mkuuuubwa kiivyo hii January?
On paper ni Wachezaji wangapi wanaingia first 11 yetu kutoka Sheffield United, lakini mbona mpira wa Sheffield unaeleweka kuliko wetu, Ukiangalia mpira wetu unategemea individual brilliance kuliko team brilliance
OGS anajificha kwenye kichaka kinachoitwa rebuild, patience, United way
Hivi Rodgers mbona alihitaji mwezi 1 tu, kubadili uchezaji wa Leicester........ Ole anaomba miaka 4 kama Klop, laughable
Sent using Jamii Forums mobile app

5days left to close january window
Hakuna dalili ya bruno, it means kina woodward pengine wameona Ole si mtu sahihi kuleta hitaji lake wakat wanamfukuza muda wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app