ole anapoomba apewe muda kama klopp anapaswa akumbuke yafuatayo:
klopp anakabidhiwa timu oktoba 2015
liverpool wanafungwa fainali dhidi ya man city kwenye kombe la carling a.k.a carabao
liverpool pia wanafungwa fainali kwenye kombe la europe dhidi ya sevilla (3-1)
2016/2017 (first full season kwa klopp)
wanafuzu kucheza ligi ya mabingwa kwa kushika nafasi ya nne, mpaka hapo jurgen klopp alikwisha onyesha muelekeo wa kuleta mafanikio.
kama ole anahitaji apewe muda anapaswa awathibitishie walimwengu japo kwa kutupa nafasi ya nne kama klopp kwenye ligi kuu au kuipa ubingwa wa europe.
2017/2018 ( second full season kwa klopp)
liverpool wanashika nafasi ya 4, liverpool wanafungwa na real madrid kwenye fainali
2018/2019 (third season kwa klopp)
liverpool wanashika nafasi ya pili kwenye premier league, liverpool wanabeba ubingwa wa uefa.
2019/2020 (fourth season kwa klopp)
kila mtu anaiogopa liverpool.