Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaani huyu mwana kaanza kujificha kwenye kivuli cha Klop, sisi hatukutaki

bangi za usiku zinapochanganyika na msongo wa njaa na mawazo finyu
kocha yeyote ajaye klabuni manchester united kama anahitaji kufanikiwa kwa haraka zaidi afanye maamuzi ya kuwaondoa wafuatao haijalishi awe hana uhakika wa kupata warithi wake kwenye soko la usajili, naamini kuondoka kwao hakutaleta athari yeyote kuliko kuendelea kubaki kwao klabuni pia kuondoka kwao kutasaidia kupungua kwa wage bills
  1. jesse lingard
  2. andreas perreira
  3. phil jones
  4. marcos rojo
  5. alex sanchez
  6. diogo dalot
akishafanikiwa kuwaondoa wachezaji hao kwa msimu mmoja then afanye maandalizi ya kuwaondoa wachezaji wafuatao kwa dirisha linalofuata (2020/2021) pindi wakipatikana warithi sahihi
  1. anthony martial
  2. eric bailly
  3. luke shaw
  4. victor lindeloff / smalling
  5. juan mata
kinyume chake tutaendelea kuwa wasindikizaji haijalishi kama klabu itaamua kuwaajiri kwa pamoja josep guardiola, zidane na mauricio sarri.

hao niliowawekea wino mwekundu nakaribisha mjadala huru.

Timu yetu imejaza watumishi hewa
 
Solskjær press conference vs Tranmere (A)

Tranmere match preview
It’s a quick turnaround anyway. We played on Wednesday so we hadn’t prepared a lot, we watched a couple of the other Tranmere games and the one last night. The opposition is the opposition and we’ll look again at it today.

Victor will be available again,” Solskjaer told MUTV.
He’s recovered it’s one more to chose from. That’s good and I don’t think anyone suffered any bad injuries, no, in midweek.”
 
Transfer latest
It is stretched but we’re getting players back after the break as well, so we will be better off for the break.
We’re still working on one or two things so let’s see if the club get it over the line.

Negativity within the football club?
On the training ground the mood’s still good, everyone’s down because we don’t win.
It’s understandable sometimes supporters air frustrations and the last week has been two disappointing results that has probably enhanced that feeling. But, for us, you get used to it at this club. You get used to the ups and downs and as we’ve spoken about here you’ve got to get on with it, when you do badly you know you’ve got a job to do.
 
Need for signings
I think our fans know what we have started on and I’ve been trusted to do that job and that rebuild doesn’t go one way all the time, it doesn’t just go we’re doing great, we’re doing great, said it so many times.

The foundation has to be laid and the culture has to be properly set and laid down and this group is a good core of players that believe in themselves and what we’re doing to carry us forward with signings and players coming back.

You need to knock the house down, you don’t just start with the roof, we’ve had some rainy days and wish that roof was on, but we can’t hide.
 
Why can't United spend so much money?
For me, we do have a way of doing things, you can see other teams have done well. You can see Jurgen spent four years building his team and they’re doing well now, it’s not gonna be a quick fix, and it’s not eight or 10 players in in one transfer window, we’ve had one proper transfer window and we are trying to do something now.
 
Will you get enough time?
When you start on something you stick to that plan.
I’m not gonna change six or eight, or nine or 10 months into the job and start believing in a different way.
I’m gonna stick to what I’ve been trusted to do by the club and hopefully, that’ll be good enough, that what we can see is right. All my conversations with the club have been positive.
 
Ole bana!
Its not a quick fix wakati ana miezi zaidi ya 13 na klabu hii,hajabadilisha mfumo wa uchezaji,ameongeza wachezaji watatu wapya,ameishi madirisha 2 ya usajili summer na january.
Tunachokiona ndio hicho kilichopo labda kama kuna kitu behind the scene mashabiki hawakioni.
Burnley kashinda kirahisi sana pale OT na haikuwa kosa la mchezaji mmoja mmoja bali mfumo wote ulifeli.
Naomba hata tranmere watuchape ili bodi iamke na kuchukua hatua sahihi.
Tetesi za usajli ndio zinazidi kutia kichefuchefu zaidi. Ighalo au Sliman ndani ya OT tena kwa mkopo!1
 
ole anapoomba apewe muda kama klopp anapaswa akumbuke yafuatayo:

klopp anakabidhiwa timu oktoba 2015
liverpool wanafungwa fainali dhidi ya man city kwenye kombe la carling a.k.a carabao
liverpool pia wanafungwa fainali kwenye kombe la europe dhidi ya sevilla (3-1)

2016/2017 (first full season kwa klopp)
wanafuzu kucheza ligi ya mabingwa kwa kushika nafasi ya nne, mpaka hapo jurgen klopp alikwisha onyesha muelekeo wa kuleta mafanikio.

kama ole anahitaji apewe muda anapaswa awathibitishie walimwengu japo kwa kutupa nafasi ya nne kama klopp kwenye ligi kuu au kuipa ubingwa wa europe.

2017/2018 ( second full season kwa klopp)
liverpool wanashika nafasi ya 4, liverpool wanafungwa na real madrid kwenye fainali

2018/2019 (third season kwa klopp)
liverpool wanashika nafasi ya pili kwenye premier league, liverpool wanabeba ubingwa wa uefa.

2019/2020 (fourth season kwa klopp)
kila mtu anaiogopa liverpool.
 
Wakati kwa jamaa yetu ndio kwanza timu haieleweki inacheza mfumo gani na kwa kusudio lipi!
Ni kama vile tumetoka championship na ni mara yetu ya kwanza kuingia epl msimu huu.
 
Kwenye izo timu ondoa Chelsea

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati kwa jamaa yetu ndio kwanza timu haieleweki inacheza mfumo gani na kwa kusudio lipi!
Ni kama vile tumetoka championship na ni mara yetu ya kwanza kuingia epl msimu huu.
reference aliyoitumia ole itamuumbua hadharani kwa sababu wapo makocha waliopewa team kwa muda mfupi kuliko klopp na wameweza kuimplement philosophy inayoeleweka..
rejea mabadiliko ya leicester city chini brendan rodgers.
 
Erling Haaland at Borussia Dortmund:
59 minutes
5 shots 5 goals
Fastest to score 5 goals in Bundesliga history.

tukisha mpata bruno fernandez, mdogo wake sneijder, mwanawe ricardo kaka ndipo tutaelekeza nguvu zetu kuvunja release clause yake iliowekwa na mjanja mjanja.

huduma bora + philosophy + tactics zenye kueleweka.
1579904518604.png
 
bangi za usiku zinapochanganyika na msongo wa njaa na mawazo finyu
kocha yeyote ajaye klabuni manchester united kama anahitaji kufanikiwa kwa haraka zaidi afanye maamuzi ya kuwaondoa wafuatao haijalishi awe hana uhakika wa kupata warithi wake kwenye soko la usajili, naamini kuondoka kwao hakutaleta athari yeyote kuliko kuendelea kubaki kwao klabuni pia kuondoka kwao kutasaidia kupungua kwa wage bills
  1. jesse lingard
  2. andreas perreira
  3. phil jones
  4. marcos rojo
  5. alex sanchez
  6. diogo dalot
akishafanikiwa kuwaondoa wachezaji hao kwa msimu mmoja then afanye maandalizi ya kuwaondoa wachezaji wafuatao kwa dirisha linalofuata (2020/2021) pindi wakipatikana warithi sahihi
  1. anthony martial
  2. eric bailly
  3. luke shaw
  4. victor lindeloff / smalling
  5. juan mata
kinyume chake tutaendelea kuwa wasindikizaji haijalishi kama klabu itaamua kuwaajiri kwa pamoja josep guardiola, zidane na mauricio sarri.

hao niliowawekea wino mwekundu nakaribisha mjadala huru.

Timu yetu imejaza watumishi hewa
Mtoe MATA na Dalot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaland hawezi toka club kubwa akacheze Man u!!! Hilo sahau

Mtajutia sana kwa hili mlijifanya wajuaji sasa mtagharamika zaidi ya Mino akichokihitaji
Erling Haaland at Borussia Dortmund:
59 minutes
5 shots 5 goals
Fastest to score 5 goals in Bundesliga history.

tukisha mpata bruno fernandez, mdogo wake sneijder, mwanawe ricardo kaka ndipo tutaelekeza nguvu zetu kuvunja release clause yake iliowekwa na mjanja mjanja.

huduma bora + philosophy + tactics zenye kueleweka.
View attachment 1333657
 
Back
Top Bottom