Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Huyo ndio ameanza kufuatilia mpira jana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuangalie rekodi ya EPL pekee kuanzia msimu wa 2006/07 hadi anastaafu.
2006/2007- winner
2007/2008 - winner
2008/2009 - winner
2009/2010 - runner up
2010/2011 - winner
2011/2012 - runner up, ubingwa uliamuriwa dakika ya 95.
2012/2013 - winner.
Ndani ya misimu saba ya ligi, alichukua kombe mara 5.
Kweli timu ilikuwa imeshaanza kumshinda.
Sent using Jamii Forums mobile app


