Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kocha wa ajabu sana huyu....timu yeyote ikija inamtaka mchezaji wanauziwa anabakisha vitoto na ana replace kwa kuchukua vitoto vingine.

Ferguson kwanini uli quit.. angalia matatizo Sasa tunayopata

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mkuu mpira umeanza kuangalia juzi Ferguson mwenyewe timu ilikuwa imisha anza kumshinda.
Matokeo mabovu yalianzia kwa Ferguson ndipo alipo amua Ku quit tokea hapo man u hajawahi kuwa sawa.
 
It's not about throwing money Mkuu, inawezekana wanatoa hela bila tija

It's about having vision on football matter

Kwa kuanzia tunaweza kujiuliza kwanini bodi haipo tayari kuwa na structure ambayo itasababisha all football decisions kufanywa na football people, kwa kuwa na DOF na officials wengine.

Nakuhakikishia tungekuwa na DOF, upuuzi alioufanya OGS wa kuuza kila aliye mbele yake isipokuwa watoto usingefanyika. Tusingemuuza Rom bila replacement, tusingemuondoa Smalling halafu ukabaki na Bailly na Jones na Rojo, tusingetumia wiki 3 kujadili usajili wa Bissaka hivyo kukosa muda wa ku negotiate dili nyingine za wachezaji. Tungekuwa na DOF, probably tusingekuwa na kocha anayeitwa Ole.

Bodi imeshindwa ku act pale inapopaswa ku act, mfano kinachokwamisha usajili wa Bruno kwa sasa ni kama £5m, Sporting wanataka £50m na add ons zinazoeleweka, United wanataka kutoa kwenye arobaini na add ons za kipuuzi kama eti United akichukua EPL na Bruno akipata Ballon'dour ndio add ons itolewe

Nimewahi kusikia pia tuli mess up vinginevyo tungemsajili VVD, Minamino. Juzi kati tume mess up kwa Haaland na tunaelekea ku mess up kwa Bruno.

Ukiangalia usajili huo inaonesha bodi imetoa hela nyingi sana, lakini vipi kuhusu wale waliouzwa na hela ikarudi

Kuhusu bodi huu ni mtazamo wangu mimi ambaye nipo miles 1000 kutoka Manchester, lakini Van Gaal aliyekuwa kila siku asubuhi yupo pale Carrington ameshailaumu sana bodi, Jose pia ambaye karibu kila siku alikuwa anaonana na Ed ameshailaumu sana bodi


Bodi ya Man u iwafanyie nini zaidi ya haya since Ferguson departure:-

Tatizo ni sajili au makocha?

Mata - €44.5M
Fellaini - €32.40M
Di Maria - €75M
Shaw - €37.50M
Herrera - €36M
Rojo - €20M
Blind - €17.5M
Savic - €1.75M
Martial - €60M
Schneidelin - €35M
Depay - €34M
Damian - €18M
Sweveinstaiger - €9M
Pogba - €105M
Mktaryan - €42M
Bailly - €38M
Lukaku - €84.7M
Matic - €44.7M
Lindelof - €35M
Sachez - €34M
Fred - €59M
Dalot - €22M
Grant - €1.7M
Maguire - €87M
Bissaka - €55M
James - €17M


Sent using Cash Money Wings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hata nyie ambao hamna hata EPL moja kabatini mnaongea loh???

Ila kwa uvumilivu huu ,acha muongee tu hakuna namna
Arsenal ni New Everton, kamwe hamutoweza kutoka hapo mulipo.

Yani kuanguka kwa Liverpool subiri mpaka aondoke Klopp
george_ambangile_20200123_012248.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu ilimshinda kocha aliyestaafu kwa kuchukua EPL? kweli standards za SAF zilikuwa za hali ya juu sana
Kwani mkuu mpira umeanza kuangalia juzi Ferguson mwenyewe timu ilikuwa imisha anza kumshinda.
Matokeo mabovu yalianzia kwa Ferguson ndipo alipo amua Ku quit tokea hapo man u hajawahi kuwa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mkuu mpira umeanza kuangalia juzi Ferguson mwenyewe timu ilikuwa imisha anza kumshinda.
Matokeo mabovu yalianzia kwa Ferguson ndipo alipo amua Ku quit tokea hapo man u hajawahi kuwa sawa.
Tuangalie rekodi ya EPL pekee kuanzia msimu wa 2006/07 hadi anastaafu.
2006/2007- winner
2007/2008 - winner
2008/2009 - winner
2009/2010 - runner up
2010/2011 - winner
2011/2012 - runner up, ubingwa uliamuriwa dakika ya 95 mechi ya kufunga ligi.
2012/2013 - winner.

Ndani ya misimu saba ya ligi, alichukua kombe mara 5.

Kweli timu ilikuwa imeshaanza kumshinda.
 
Bodi ya Man u iwafanyie nini zaidi ya haya since Ferguson departure:-

Tatizo ni sajili au makocha?

Mata - €44.5M
Fellaini - €32.40M
Di Maria - €75M
Shaw - €37.50M
Herrera - €36M
Rojo - €20M
Blind - €17.5M
Savic - €1.75M
Martial - €60M
Schneidelin - €35M
Depay - €34M
Damian - €18M
Sweveinstaiger - €9M
Pogba - €105M
Mktaryan - €42M
Bailly - €38M
Lukaku - €84.7M
Matic - €44.7M
Lindelof - €35M
Sachez - €34M
Fred - €59M
Dalot - €22M
Grant - €1.7M
Maguire - €87M
Bissaka - €55M
James - €17M


Sent using Cash Money Wings
Cash money nakuelewa sana
 
Bodi ya Man u iwafanyie nini zaidi ya haya since Ferguson departure:-

Tatizo ni sajili au makocha?

Mata - €44.5M
Fellaini - €32.40M
Di Maria - €75M
Shaw - €37.50M
Herrera - €36M
Rojo - €20M
Blind - €17.5M
Savic - €1.75M
Martial - €60M
Schneidelin - €35M
Depay - €34M
Damian - €18M
Sweveinstaiger - €9M
Pogba - €105M
Mktaryan - €42M
Bailly - €38M
Lukaku - €84.7M
Matic - €44.7M
Lindelof - €35M
Sachez - €34M
Fred - €59M
Dalot - €22M
Grant - €1.7M
Maguire - €87M
Bissaka - €55M
James - €17M


Sent using Cash Money Wings
Hata mimi nimejiuliza hiki pia
 
OGS out of depth, ukimtazama anatia huruma

Positivity pekee, tumepigwa tuone haja kusajili na kumpumzisha OGS

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani sielewi kwann mpaka sasa OGS ajafukuzwa? sielewi uko mazoezini uwa anafundisha nin wachezaji? yaan sielew

Pamoja na udhaifu wa management, OGS hatoshi

Toka Sir Alex aondoke, kocha aliyeonekana anafanya rebuilding alikua LVG tu, yaani only LVG, nafikiri zambi ya kumfukuza huyu babu inamuandama kirusi Woodward
Screenshot_20200123-100719.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu bado ana matumaini na huyu mmasaai Ole?
Kila siku kwenye press anasema wanaimarika na wachezaji wake wanafanya vizuri,kwa nini tumkasirikie Ed wakati Ole ni mnafiki?
Mkuu mim nilikua kati ya watetezi wa mmasai hapa, ila kwasasa OGS OUT, yaani huyu hata angepewa Leicester City ktk EPL standing ingekua ya 12 now

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rio Ferdinand jana hiyo

Nani anayenunua wachezaji, meneja anayetaka kuwatumia sasa au klabu inayowataka kwa sasa na pia kwa siku zijazo

Nimecheza na Ole, alikuwa mchezaji mwenzangu, lakini matokeo hayaridhishi

Baadhi ya wachezaji wake muhimu ni majeruhi, lakini kwa ukubwa wa kiasi cha fedha kilichotumika, lazima utegemee zaidi ya kinachoonekana

Nimefedheheka, ni fedheha kuwa hapa

Sioni kama kuna njia mbele, sioni lengo lililowekwa na kwamba kupitia mkakati flani tutalifikia hilo lengo

Juzi GNeville karuka na bodi na Ed, jana Rio kaanza kumchokonoa Ole na bodi, mshipa wa kuoneana aibu umeanza kuwatoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ma'legend unafiki unaanza kuwatoka

Woodward + OGS = OUT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bodi ya Man u iwafanyie nini zaidi ya haya since Ferguson departure:-

Tatizo ni sajili au makocha?

Mata - €44.5M
Fellaini - €32.40M
Di Maria - €75M
Shaw - €37.50M
Herrera - €36M
Rojo - €20M
Blind - €17.5M
Savic - €1.75M
Martial - €60M
Schneidelin - €35M
Depay - €34M
Damian - €18M
Sweveinstaiger - €9M
Pogba - €105M
Mktaryan - €42M
Bailly - €38M
Lukaku - €84.7M
Matic - €44.7M
Lindelof - €35M
Sachez - €34M
Fred - €59M
Dalot - €22M
Grant - €1.7M
Maguire - €87M
Bissaka - €55M
James - €17M


Sent using Cash Money Wings
Nani aliyeidhinisha OGS apewe timu wakati uwezo wake mdogo? Si bodi ndio ilimpa kibarua

WOODWAD + OGS = OUT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo n kocha tu... anatakiwa aje kocha kama jose Enrique Yule wa Barca.. me nakumbuka enz za Ferguson wachezaj walikuwa wa hovyo sana akina oshea beki Sylvester.. na bado team ikabeba ubingwa.. so inshu sio wachezaj..

Sent using Jamii Forums mobile app
Na marefa pia wameondoka sio fergie pekee. Howard Webb hayupo tena
 
Back
Top Bottom