Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nikisema na ninasema tena ole hata baada ya mwaka 2023 hatutakuwa tumefanya lolote chini yake nikimaanisha hatuwezi cheza champions league chini ya Ole.....

Unaangalia timu kwa jicho la kawaida tu unaona hamna cha rebuild wala nini ni ubahatishaji tu....

Tumeanza kuwakataa Maguire na James na bado tutaendelea kuwakataa wachezaji wengine maana ole zaidi ya motivation hana anachoongeza kwa wachezaji wetu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Bruno mnayemlilia akija hapo kwa huu mfumo wenu na koch wenu hamna lolote atakalofanya. Mwisho wa siku ataishia kuwa mediocre kama wenzake wanaomzunguka (coping with the system) kama ilivyotokea kwa Maguire, Bissaka na D. James, washaanza kufanania na wenzao identically. Kila mtu mtampraise na akija hapo anapotea.

Kwanini? It is because of the whole system. Kuanzia kwenye board mpaka kwa coach management. No miracles gonna be brought single-handedly na mchezaji mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani well said mkuu, hadi wew haters umeona mapungufu yetu, yaani hii timu yangu isipofanya maamuzi ya haraka na magumu sasa hivi, pengine itachua more than 20years kama wew kuja kukaa sawa

Kwanza sasa hivi we dont attract big players kama Sir Alex era, tumebaki na ukubwa wa jina tu, mchezaji yupo teyar kwenda A.Madrid than ManUtd

OGS kazi haiwezi + arlead fail na pia management ovyo ovyo kuanzia Woodward, Matt Judge na kikundi chake

Kuna comment #McCane kashauli iundwe structure kama zilivyo timu zingine, kiweke kitengo cha DOF na member wake na wawe watu wa mpira haswa pia wawe na maamuzi yote ya mwisho about kuajiri kocha, about transfer etc Kama zilivyo Baryen, Barca, Ajax etc
Endapo tungekua na DOF mtu kama OGS kamwe isingekuja tokea akawa Manchester United Manager, never ever

Eti now last say Woodward mwenye ma'degree ya banker, huyu anachojua only debts n credits

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Bruno mnayemlilia akija hapo kwa huu mfumo wenu na koch wenu hamna lolote atakalofanya. Mwisho wa siku ataishia kuwa mediocre kama wenzake wanaomzunguka (coping with the system) kama ilivyotokea kwa Maguire, Bissaka na D. James, washaanza kufanania na wenzao identically. Kila mtu mtampraise na akija hapo anapotea.

Kwanini? It is because of the whole system. Kuanzia kwenye board mpaka kwa coach management. No miracles gonna be brought single-handedly na mchezaji mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ambavyo tulimlaum lukaku na sanchez, wameondoka timu bado inamatatizo yaleyale.
Saiv labile kila siku anazungumzwa vibaya, sasa hajacheza karibu miezi minne lakini timu ni mbovu vie vile.

Kwan bruno anakitu gani cha ziada? Tuelewesheni tusichojua

#OGS OUT
#ED OUT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisema na ninasema tena ole hata baada ya mwaka 2023 hatutakuwa tumefanya lolote chini yake nikimaanisha hatuwezi cheza champions league chini ya Ole.....

Unaangalia timu kwa jicho la kawaida tu unaona hamna cha rebuild wala nini ni ubahatishaji tu....

Tumeanza kuwakataa Maguire na James na bado tutaendelea kuwakataa wachezaji wengine maana ole zaidi ya motivation hana anachoongeza kwa wachezaji wetu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nachojiuliza sisi tupo far miles from Manchester tunayaona haya, sasa walipo pale kwenye management hawayaoni kweli?
Velved kawapa Barcelona 2 league trophy ila wamemtimua kwasababu timu haichezi mchezo mzuri tu, inapata matokea ila hakuna pass za kutosha za ki'la masia

Sasa sisi tunamvumilia nin Ole Sendeka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii timu tunatia huruma ole mzee wa right track mara DNA
Nachojiuliza sisi tupo far miles from Manchester tunayaona haya, sasa walipo pale kwenye management hawayaoni kweli?
Velved kawapa Barcelona 2 league trophy ila wamemtimua kwasababu timu haichezi mchezo mzuri tu, inapata matokea ila hakuna pass za kutosha za ki'la masia

Sasa sisi tunamvumilia nin Ole Sendeka?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_7514.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu Masai atakuwa anatupeleka Monduli huyu, kisha Loliondo then anatutelekeza Ngorongoro
Yes Van gal alikua Anatupeleka sehemu sahihi kabisa yule ndo tuliitaji kumpa mda hata mpira ulikua mzuri sana shida ikawa ufungaji tu lakini timu ilionekana kubadilika kiuchezaji... Sasa huyu mmasai anasema timu ina improve sijui kutokea wapi maana hamna tunachoweza kufunga shida hata pasi complete 10 shida, labda kuna sehemu mnaona tunaimprove mimi sioni shabiki newbie.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom