Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole At The Wheel
IMG_20200123_101143.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Bruno mnayemlilia akija hapo kwa huu mfumo wenu na koch wenu hamna lolote atakalofanya. Mwisho wa siku ataishia kuwa mediocre kama wenzake wanaomzunguka (coping with the system) kama ilivyotokea kwa Maguire, Bissaka na D. James, washaanza kufanania na wenzao identically. Kila mtu mtampraise na akija hapo anapotea.

Kwanini? It is because of the whole system. Kuanzia kwenye board mpaka kwa coach management. No miracles gonna be brought single-handedly na mchezaji mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Table inadanganya sana kwa kuangalia position, ukitaka uhalisia angalia points

Hata huyo namba 5 na wa relegation zone bado hawatofautiani kiivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
  • sheffield anashika nafasi ya 8 na amezidiwa kwa alama 1 na manchester united wanaoshika nafasi ya 5
  • southampton anashika nafasi ya 9 na amezidiwa kwa alama 3 na manchester united wanaoshika nafasi ya 5 (mechi 10 za mwisho wamepoteza mechi mbili na draw 1)
  • newcastle anashika nafasi ya 14 na amezidiwa kwa alama 4 na manchester united wanaoshika nafasi ya 5.
  • brighton wanashika nafasi ya 15 na amezidiwa kwa alama 9 na manchester united wanaoshika nafasi ya 5
  • wattford anashika nafasi ya 19 na amezidiwa kwa alama 11 na manchester united wanaoshika nafasi ya 5.
  • norwich anashika mkia amezidiwa kwa alama 17 na manchester united
01/02 = tunacheza nyumbani dhidi ya wolves
17/02 = tunacheza ugenini dhidi ya chelsea
23/02 = tunacheza nyumbani dhidi ya watford
01/03 = tunacheza ugenini dhidhi ya everton
07/03 = tunacheza nyumbani dhidi ya ma city
14/03 = tunacheza ugenini dhidi ya tottenham
 
Manchester United loan offer for Matias Vecino rejected by Inter Milan
The 28-year-old central midfielder could act as a short-term replacement for Scott McTominay and Paul Pogba while the pair endure time on the sidelines through injury.

Inter are now in discussions over a possible exchange deal which would see Vecino sign for Napoli and Brazilian midfielder Allan head in the opposite direction and join Antonio Conte's side.

1579789463629.png
 
  • sheffield anashika nafasi ya 8 na amezidiwa kwa alama 1 na manchester united wanaoshika nafasi ya 5
  • southampton anashika nafasi ya 9 na amezidiwa kwa alama 3 na manchester united wanaoshika nafasi ya 5 (mechi 10 za mwisho wamepoteza mechi mbili na draw 1)
  • newcastle anashika nafasi ya 14 na amezidiwa kwa alama 4 na manchester united wanaoshika nafasi ya 5.
  • brighton wanashika nafasi ya 15 na amezidiwa kwa alama 9 na manchester united wanaoshika nafasi ya 5
  • wattford anashika nafasi ya 19 na amezidiwa kwa alama 11 na manchester united wanaoshika nafasi ya 5.
  • norwich anashika mkia amezidiwa kwa alama 17 na manchester united
01/02 = tunacheza nyumbani dhidi ya wolves
17/02 = tunacheza ugenini dhidi ya chelsea
23/02 = tunacheza nyumbani dhidi ya watford
01/03 = tunacheza ugenini dhidhi ya everton
07/03 = tunacheza nyumbani dhidi ya ma city
14/03 = tunacheza ugenini dhidi ya tottenham
Mkomeee mpka muoneshe mlipoficha mke wa mganga sie kwetu tunaanza sherehe za ubingwa mana kila kitu kishakaa mahali pake......... Ryan Gigis in 2011 once said "Manchester United will never fall like Liverpool... Na sasa tunaonaaaaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
✓Tatizo kubwa ni Uongozi wa juu,na Ole ana ongeza ugumu wa tatizo...Tungekuwa na watu wa mpira kweli kwenye uongozi wa juu Ole asingepewa jukumu alilopewa kirahisi namna ile..yaani interim kocha hata msimu hakuumaliza akapewa permanent job,na akaishia kushindwa kutupeleka hata top four..

✓Let's be honest,Ole bado viatu hivi ni vikubwa sana kwake..tukifungwa huoni hata mabadiliko ya kiuchezaji,anachoweza ni kufanya sub ya Greenwood na kutegemea itatokea bahati ya goli..mimi nilitegemea labda akiingia Greenwood timu itawavuta wapinzani upande wa kushoto na ku-leave some space kulia ili Greenwood afanye yake,lakini hili halitokei..Huyu Ole bado

✓Mtu kama Mourihno alikuwa sahihi kwenye baadhi ya vitu..Mtu kama Martial hauwezi kumtegemea eti ndo 1st choice straiker wako kwa perfomance yake hii ambayo haieleweki..

✓Kama pesa tumeshatumia sana ni muda ya uongozi huu kusafishwa au glazer wauze hii timu kwa matajiri wengine,tofauti na hapo hali itakuwa worse zaidi

✓Spurs na shida walizonazo watamaliza juu yetu kwenye epl hapa ndo utaelewa kuwa hamna kitu tunachokifanya na uongozi huu plus huyu clueless manager

✓Hakuna hata mchezaji wa maana atakayetamani kuja OT kipindi hiki..tutaokota tu magharasa
 
Back
Top Bottom