Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man u wengi humu mmefurahi kwa kuwa hiki mlichokipata kinaenda kumuondoa Ole

Wengi wenu hamumtaki kocha ila mnashindwa kuanzisha ole out ole out ole out
 
Ebana ehe.. leo umeibuka lol, kwasababu United tumefungwa lol

Haya hongera sana naona kipofu kaona mwezi msimu huu mnanyanyua

Ngoja tutimue watu kwanza msimu ujao tule vichwa vyote

rubaman umemuona kijana anavyofurahia matatizo yetu
Inaelekea kijana kashapata uhakika wa kuona parade ya EPL. Imembidi achurupuke alipojificha kwa muda wote huu. Anyway hawa You never slip alone while Steven Gerrard is here wasikuumize kichwa watapotea baada ya misimu 2.
 
hahah usimuingize ndugu yangu Rubaman kwenye balaa lako hahaha akifikiria beki zake anaona kwanini hakuwa mchezaji mpira akalipwa pesa anazolipwa Mustafi kweli sio kumuomba Mungu tu inataka nabidii waifanya bidii kufika pale tehteh!
Mkuu inaelekea utaangusha ng'ombe 30 ifikapo May. Shauku ya kunyanyua EPL inazidi kupamba moyoni umeshindwa kuendelea kujichimbia.
 
Mm siwezi kuwacheka manure kwa matokeo ya jana, tambueni manure walikuwa fatigue, ule msako wa jumapili kutoka kwa akina Firmino lazima watu wachoke, tambueni ya kwamba wachezaji wa manure nao ni binadamu, huwezi kukimbizana na akina Salah Anfield halafu ukatoka na nguvu zako, wanahitaji muda miili irudi kwenye hali yake ya kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaelekea kijana kashapata uhakika wa kuona parade ya EPL. Imembidi achurupuke alipojificha kwa muda wote huu. Anyway hawa You never slip alone while Steven Gerrard is here wasikuumize kichwa watapotea baada ya misimu 2.

Baada ya Misimu Miwili tukishapotea nyinyi Arsenal mutaibuka lini?
 
Tumpe mda kocha ajenge timu msimu ujao epl ya kwetu hii wakuu tuwe na utulivu na subra

GGMU
 
tapatalk_1576584101047.jpeg
 
TUNEA
HT

Tupo nyuma kwa goli moja

DJ, Pereira, Martial hawastahili kuwa 1st eleven ya Man Utd, labda wawe squad player

Tunakosa ubunifu sehemu ya mwisho ya uwanja, nachoshangaa pamoja na udhaifu huu bado kina Woodward wanasua sua kumleta Bruno, ambaye ata offer goals & assist, kipindi kigumu sana hiki kuwa Man utd fan

Naungana na kina Garry Neville and LVG tatizo la Man utd ni management kule juu, hata aje Pep kwa management ya kina Woodward hatofanya lolote, pia OGS hamna kitu yule, timu no progress

Ila waingereza wapole sana, wamejazana pale OT wanaisapoti timu yao, laiti ingekua ndio Simba Sc tunapata matokeo haya alafu kina MO wakawa wanazingua kuleta watu, tushakinukisha kitambo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
TUMEANZA KUELEWANA SASA KUHUSU MARTIAL.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahi watu senior like Garry Neville kuanza kumyoshea kidole Woodward hadharani, haiwezekani kila kocha awe mbovu uku yeye akiwa boss

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasipepese, waseme wazi kuwa Ole nae ni shida nyingine, makocha waliopita walilaumiwa personally kwa timu kufanya vibaya na hata walipolalamika kwamba kuna shida za uongozi hakuna aliesikia, hawa hawa wachezaji wastaafu wakiongoza na Rio Ferdinand and Company ndio walikuwa wanakesha kwenye TV stations kukosoa makocha, sasa mwenzao kapewa timu, kutokana na unafaki wao shutuma sasa zimehama kutoka kwa kocha kwenda kwa Woodward.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom